Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,127
- 4,395
Huu unafiki unapendeza kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wamarekani watakuwa ni matahira wakubwa kama watamchagua tena Trump baada ya miaka minne,hakuna kitu kinachoniuma kama Marekani kujitoa kwenye mkataba wa joto wa Paris!
Hueleweki majuzi tu kauli Trump kama Magu. Unafiki sheeda.Trump ni mgonjwa muda mrefu!
unafiki upi mkuu?Huu unafiki unapendeza kweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
HayaHaya bhana
Uliumiaje na hayo mambo ya kimataifa?unafiki upi mkuu?
Trump simpendi tangu day one kwa sababu alivyo kuwa ana dhalilisha wanawakeHueleweki majuzi tu kauli Trump kama Magu. Unafiki sheeda.
Suala la global warming linahusu dunia nzima,siyo suala la marekani na nchi za ulaya pekee!!.....kitendo cha Marekani kujitoa kwenye mkataba wa joto wa Paris madhara yake yataathiri kila nchi duniani including Tanzania!!Uliumiaje na hayo mambo ya kimataifa?
If truth be told Africa is one huge mess.Trump simpendi tangu day one kwa sababu alivyo kuwa ana dhalilisha wanawake
Sasa kawa shindwa anaingilia AFRICA
Pathetic
Kwa ni wao walianzaje?If truth be told Africa is one huge mess.
Haya kuonesha msimamo wao kuwa wanachama wa SADC siyo "SHITHOLES" waiwekee vikwazo USA under the BIG TRUMP.
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa
Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Waafrika 40% ya bajeti kuu za nchi zao wanategemea misaada toka USA na nchi za Ulaya, hapo jeuri wataitoa wapi?Kaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika
Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Tatizo lenu mnapenda kulembeshewa maneno matamu matamu, hamtaki kuambiwa ukweli unaoumizaHuyu Trampu sidhani kama kichwani zinamtosha,maana hata kama ni kupenda kusema ukweli sasa huku kumepitiliza kwa maneno mengine ni kama anaishi na mawazo ya dunia ya miaka ya 1800 wakati sasa ni 2018.mjinga sana huyu mzee!
Trump anajulikana kwa tabia zake, kauli zake na mambo yake ya kukurupuka ovyo...
Atakalo amka nalo ndiyo hilo hilo...
Cc: mahondaw
US IS US mazee acha mambo zakoNdoto za mchana ni nini?Kusema kinachotakiwa kufanyika ni ndoto?
Hujajibu swali lililoulizwa na ulichoandika sijauliza.US IS US mazee acha mambo zako
Tafiti zinaonyesha tunahitaji miaka zaidi ya 1000 kufikia maendeleo ya hizo nchi
Kuna aina tatu tu za ndg sizonje za kujibu maswali yani swali kwa swali, swali kwa maelezo, na swali kwa mkato, nitumie njia ya kwanza kukujibu ndg diaspora unazani Trump kulitumia hilo neno alikosea?Hujajibu swali lililoulizwa na ulichoandika sijauliza.
Naijua Tanzania. Nimezaliwa huko.
Naijua US. Naishi huku miaka 22 sasa.
Kwa hiyo kunieleza tofauti ya US na huko mtu kama mimi ni kutoelewa ninavyoelewa.
Kama unaona tunahitaji miaka 1000 kufikia maendeleo ya hizo nchi, huku hujaelewa muktadha endelevu wa maendeleo endelevu, hujaelewa hata usichoelewa.
Na mimi nikujibu kwa kukuuliza kwanza.Kuna aina tatu tu za ndg sizonje za kujibu maswali yani swali kwa swali, swali kwa maelezo, na swali kwa mkato, nitumie njia ya kwanza kukujibu ndg diaspora unazani Trump kulitumia hilo neno alikosea?
Kukosea ni kuenda kinyume na matakwa ya kitu au jambo fulani.Na mimi nikujibu kwa kukuuliza kwanza.
Kukosea ni nini?
Maana uelewa wetu wa kukosea katika muktadha wa hoja hapa unaweza kuwa tofauti kiasi kwamba tukawa tunaona kitu kimoja na kusema kile kile lakini wewe ukaona hajakosea na mimi nikaona kakosea, au wewe ukaona kakosea na mimi nikaona hajakosea, ingawa tunakubaliana alifanya hiki na hatupingani kuhusiana na yote yaliyotokea, lakini mtazamo wetu wa kukosea na kutokosea ni nini ukiwa tofauti, tutatofautiana.
Kwa hivyo, nikuulize.
Kukosea ni nini?