Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Mtu akikwambia ukweli wa jinsi ulivyo, sio mbaya bali anataka ujitambue. Huwezi kukata kwamba Afrika sio "shithole" wakati tunapokea mitumba hata ya nguo za ndani ambazo kwao wanatupa kwenye shimo la taka!
Africa is not monolithic.

Thinking it is is ignorance.

Leo nilikuwa naangalia CNN, watetezi wa Trump wanasema kwamba hii lugha wameizoea, kuna vimji vingibsana huku Marekani vinaitwa "shithole".

Nilikuwa na boss wangu mmoja alienda kwenye mkutano Cleveland Ohio, alivyorudi New York City akawa anapaponda Cleveland anasema "That place is a dump". Kwa hiyo katika colloquial language kintaa mtaa huku Wamarekani, hasa low class, washaziea hizi vulgar language.

Wamarekani halisi sifa yao ni kuwa rugged. Walitoka Ulaya huko, kuja huku ku hustle, wakaenda west huko kufukuzana na natives etc. Kwa hiyo wengi sana wanapenda habari za mtu anayeongea lugha ya watu wa hali ya chini.

Na Trump ndio anawatafuta hawa. Wanamoenda kweli. Trump sasa hivi badala ya kujisikia vibaya atafute namna ya kuonba radhi, anafurahia nedia inavyom civer. Ni ujinga wa kutia kafara mahusiano ya kinataifa jwa ajiki ya sifa ndogo kwa wafuasi wake, wakati watu wengi wenye kufikiri zaidi wanamuina mjinga.

Back to my question. Is Africa monolithic?

Is Botswana the same as Puntland?

Why lump all these places as if they are a monolirhic block?
 
Huyu mtu katuambia ukweli sioni kwann tunatoka povu.tujipange tuinue bara letu kiuchumi kwan study zinaonyesha tunaweza kujikwamua.kama bajeti ya jiji la birmingham linazidi mar dufu bajeti ya nchi ya Tanzania ,kwann matusi hayo yasiwe chachu ya kufanya kazi kwa bidii zaidi sote kwa pamoja ili tufike huko Malyasia walikofika ?
 
Pale unapoona watu mavi kama Kivyako, Dreka na wengine wengi tu pita mbali. Wananuka. Mna bahati hamko huku nyumbani. Manake ningewapeleka kwa veterinary clinic kuondoa unyama wenu pamoja na kuwasafisha mavi yenu.

Sasa, msinijie hapa, manake kukubali maneno hayo, na kama nyie ni Waafrika(sio wa kujipandikia) basi mmekubali hivyo tu kuwa nyie ni mavi tupu. Si mimi nasema hivyo bali ndugu yenu mnaemtetea. Amani
 
Huyu mtu katuambia ukweli sioni kwann tunatoka povu.tujipange tuinue bara letu kiuchumi kwan study zinaonyesha tunaweza kujikwamua.kama bajeti ya jiji la birmingham linazidi mar dufu bajeti ya nchi ya Tanzania ,kwann matusi hayo yasiwe chachu ya kufanya kazi kwa bidii zaidi sote kwa pamoja ili tufike huko Malyasia walikofika ?
Katuambia ukweli kuwa?
 
Utakuta huyo raisi wa botswana alikuwa na mpango wa kubadili katiba ili aendelee kutawala,maana marais wengi wa Africa ni 'ma'shithole aswaaa.
Trump yuko sahihi kwa maneno yake mengi,hasa hawa wakoloni weusi ndo wametuleta laana hii ya umasikini kwa ubinafsi wao waliichukua Africa toka kwa wakoloni weupe ikiwa inastawi kiuchumi,wamezivuruga nchi zao kiuchumi toka juu kuja chini.Neno Demokrasia ni mwiba mchungu sana kwa hawa wakoloni weusi.
 
8aba582885e0617792a3b6e467b47f52.jpg

Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa

Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Km Gaddafi anavamiwa anauwawa na wako kimya kwanini wasiitwe shithole
 
Trump atuache na Africa yetu.na maisha yetu.
Atawaachaje wakati mnaanzisha vita wenyewe kwa wenyewe, au mnaharibu uchumi wenu then mnakimbilia kuomba uhamiaji kwenye nchi yake ambayo wananchi wake wameitaabikia kuijenga?
 
mbona mwaka 2015 mliitwa MALOFA mkanywea tena hapahapa nyumbani kwenu.Je Trump mtamfanya nini.Africans should be recolonizes for another 100 years aisee ile tujirekebishe.
Ni mim SHITHOLE (DODOMA)
Kwa sasa Zanzibar

Acha kuwa na akili za kushikiwa eti”tutawaliwe laiti kama ungejuwa babu zetu walivyoteswa na kupigania kuwa huru mpuuzi kama wewe usingeongea haya.Ungetawaliwa leo unadhani ungepata hata muda wa kutoa mashudu yako jf,ungekuwa shamba unalima
 
Atawaachaje wakati mnaanzisha vita wenyewe kwa wenyewe, au mnaharibu uchumi wenu then mnakimbilia kuomba uhamiaji kwenye nchi yake ambayo wananchi wake wameitaabikia kuijenga?
Ulishawahi kujiuliza silaha zinatoka wapi?
 
Japo maneno ya Trump ni makali ila huwa najiulizaga ni kwa nini tunaona kawaida watu kunya porini?? yani unakuta mtu anakunya karibu na chanzo cha maji, hivi hii imekaajekaaje??? Jamani wenye experience na nchi zilizoendelea hii kitu ipo huko majuu??
 
Kuna ujumbe wa Bunge la Marekani unaenda Botswana.

Watu wameuliza, kama huku ni shuthole wanakuja kufuata nini?

Wafanyabiashara wa Marekani kibao wako Gabirone wanafanya biashara ya almasi.

Gaborone Botswana kuna soko la kimataifa la almasi.

Wanaukiza, na hapa napo ni shithole?

Kama ni shithole mnafuata nini?

Utasemaje haya ni maswali ya kupoteza muda wakati yana mantiki na yanahoji kauli za rais wa Marekani?
Kama mtu akikuita mbwa wewe utapambana kujibishana naye? Narudia tena ukijibishana na mwendawazimu wewe ndio utaonekana mwendawazimu! Labda kama kuna ka ukweli ndani yake! Kama wanakuja kwenye 'shithole' maana yake wao ndio 'shit' haswaa!
 
Hapa suala si mtu kukuita mbwa na wewe kupambana naye.

Suala ni, mtu akikuita mbwa halafu mwanawe anakuja kuchumbia kwako, utakubali huo uchumba?

Kuna ujumbe wa bunge la Marekani unakuja Botswana kutafuta deals. Kuna wafanyabiashara wa Marekani wako Bitswana wanafanya deals.

Trump mwenyewe kasema rafiki zake wanakuja Afrika kutafuta utajiri.

Sasa kama huko ni shithole countries, kwa nini hawaishi kuja?

Africa hata nchi inayoonekana haina kitu, ina jangwa tu kama Niger, ina uranium inayotakiwa dunia nzima kwenye nuclear weapons.

Sasa mtu mwenye akili ataziitaje hizi nchi shithole wvwn from a merely practical standpoint?
 
Acha kuwa na akili za kushikiwa eti”tutawaliwe laiti kama ungejuwa babu zetu walivyoteswa na kupigania kuwa huru mpuuzi kama wewe usingeongea haya.Ungetawaliwa leo unadhani ungepata hata muda wa kutoa mashudu yako jf,ungekuwa shamba unalima
Sawa.

Ila nina swali, hivi ni kwanini Mababu zetu walikubali kutawaliwa?

Walikuwa wazembe na dhaifu eeh

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom