popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,622
Bila kutukanwa hatutatoka tulipo,Trump yuko sahihi kama vipi wachukue maamuzi magumu waandamane warudi nchini mwao Africa na Haiti..wasiporudi trump yuko sahihi
Kuna watu wanajifunza kupitia makosa,
Kuna watu wanajifunza kwa kuiga
Kuna watu wanajifunza kwa kuambiwa,
Na kuna watu hata uwaambie hawajifunzi(ndo tulivyo sisi)
Ss bila kutukanwa hatujifunzi,
Narudia tena,
Tusilalamike kutukanwa,
Tujiulize tunatukanwa kwa kusingiziwa?
Nani wanaosababisha sisi kutukanwa?
Kifupi watawala wa afrika ndo sababu ya ss kutukanwa,