MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Kuna ukweli gani hapo semantically ?TRUTH IS NOT RACISM.
Africa ni changamoto nyingi sana nyingi sana zimetengenezwa na sisi wenyewe lakini 50% ya matatizo ya Afrika Marekani na Ulaya wanahusika kabisa.