Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Wamarekani watakuwa ni matahira wakubwa kama watamchagua tena Trump baada ya miaka minne,hakuna kitu kinachoniuma kama Marekani kujitoa kwenye mkataba wa joto wa Paris!
 
Naona umeamua kutukana wazazi wako waliokuzaa
Sijui umri wako au wa wazazi wako hebu uliza wazazi walipozaliwa walikuwa wakijisaidia kwenye Pot au walivalushwa pampasi si walikunya miguuni kwa wazazi wao wachafu? Na uchafu wao wewe umefika hapo ulipo mwehu wewe .India kuna MTO mchafu umejaa vinyesi unaitwa MTO Ganges vinyesi vinaelea lakini kila mwaka mabilioni ya wahindi toka india na duniani kote huenda kuhiji na kuoga kwenye huo MTO wanaoita mtakatifu uliojaa vinyesi.ukiuliza mbona mchafu watakwambia MTO mtakatifu hauwezi kuwa mchafu ukiwauliza hamuwezi pata magonjwa kama kipindi pindu nk wanakwambia MTO mtakatifu hauwezi kukupa maradhi wanaoga na kuzama kwa raha zao.Donald Trump aheshimu watu wengine wawe wasafi au wachafu as long as they are human beings they need respect not only from Donald trump but from anybody on earth including you bwege
Hujui alichomaanisha Trump sio uchafu wa mto wala mwili, uchafu anaosema...ni..

Nchi kutoheshimu Katiba zao..
Kutoheshimu utu wa mtu..
Nchi kuwa na raslimali nyingi lkn bado ni ombaomba..nk.
 
Kumbe kweli we we upon gizani. Tanzania tuna vitu na vumbuzi za kujivunia. Kwanza chanjo ya Malaria ilinguduliwa katika kituo cha utafiti Ifakara - Moro, WHO waligoma kutupa hati miliki wamerika wakaichukua na wakajifanya wameigundua wao tena wakaibadilisha ili tuamia haifanyi kazi pia kumbuka Mradi wa mbu Jangwani na Muhimbili ilikuwa ni majaribio mbu walikuwa wengi. 2. Uvumbuzi wa viazi lishe venye vitamin A nyingi baada ya Sirikali kusutukia chanjo ya matone. 3. Tanzanite nipo Tanzania tu, mbona wanai-disvalue. 4. Vyura wa Kihasi - Moro wamerikani walichukua baadhi kwenda na US kisha walipozaa aliwarudisha lakini walikuwa wana magonjwa ili vyura wote wafe pale Kihasi wabakie Marekani tu. Wataalamu wetu waligundua na walizibiti magonjwa hayo. Kumbuka vyura wa Kihasi wanazaa na wanpatikana Tanzania tu. Labda kwa sasa na Marekani. 4. Uranium, kwa miaka kumi na ushee hivi kulikuwa na mradi fulani wa UKIMWI mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma. Mradi huo uliongozwa na Marekani, walikuwa wanchunguza Uranium. Marekani ajenge barabara toka Ruvuma hadi Mtwara bure. 5. Serengeti hakuna hifadhi duniani yenye wanyama mbalimbali kama serengeti. 6. Mt. Kilimanjaro is only highest free stand mountain in the world. Maana yake unapanda mpaka juu bila kutumia kamba. 7. Uvumbuzi wa panya watengua mabomu toka pale Moro mbona wazungu wapo kimya. 8. Uvumbuzi wa M-pesa wazungu hawaupendi kabisa wanauzuia usiingie kwao wao wanakazania ATM card na electron card mbalimbali kwa nini wasichukua M-Pesa. Ndio maana tuwe makini na Bitcoin. Hii inakuja kufanya mtikisiko wa Uchumi wa Dunia baadaye. 9. Nembo ya Taifa. Tanzania pekee ndiyo nchi ambayo kwenye nembo yake kuna mwanaume na mwanamke. Nchi nyingine ni wanyama au mimea tu kwenye nembo zao za Taifa. TAFAKARI.

Naona unanitajia rasimali na maliasili tulizonazo watanzania.

Hujasema ni jambo lipi tumeligundua na jamii ya kimataifa inafaidika kwalo na limesaidia kuinua maisha ya watanzania(sio maisha ya watawala)
 
8aba582885e0617792a3b6e467b47f52.jpg

Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa

Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Kwani ni uwongo mkuu?
1. Zimbabwe Rais katolewa kwa nguvu
2. Rwanda, Burundi
3. Uganda wapipisha kisheria juzi Kati
4. Kenya wanataka kuapisha marais 2
5. Kongo hawataki kuachia madaraka
6. South Rais kajenga kijiji
7. Tanzania nisiseme tu jamani

Mkuu sisi mbona katusifu jamani amna kitu sisi mkuu
 
Huo msimamo wa Botswana ndio wa kiume, na wanaomsifu trumpet ni ujinga tu, hao ndio wanaotukaniwa mama zao na dada zao wanachekelea, eti kisa wanamapungufu kadhaa. Unaporuhusu mpuuzi kama huyu atutusi atazoea, pale walipo wamefika kwa kuiibia Afrika hii hii wanayosema ni shimo la mavi, mshenzi sana yule
 
ametutukana sana aisee, hakutakiwa kutufananisha kwa namna hiyo, pamoja na kwamba kwakweli sijaumia moyoni kwasababu alichokisema ni kama amewakilisha 90% ya kile wazungu wanachofikiria mioyoni mwao isipokuwa tu hawawezi kutamka. pia kama ulishaishi ulaya kidogo, kiuchumi, haki za binadamu etc hakika hata kama wewe ni mweusi unaweza kuwa na mawazo kama ya trump. Ulaya tukio la Lisu tu lingeshugulikiwa hadi kila mtu angeona limeshughulikiwa, mfano ukimwuliza Tundu Lisu leo aongee juu ya Tanzania kwa yale yaliyomkuta unafikiri atasemaje?...risasi zote zile, africa nchi nyingi watu wanaonewa, wananyimwa furaha na amani,...amano wanayo barabarani lakini moyoni wanaugulia, wana uchungu kumbe hawajui wanakufa kwa presha na magonjwa mbalimbali kwasababu amani mioyoni hamna, na viongozi wengi wamenyima raia amani na furaha. wababe tu wenye pesa ndio wanaishi kufurahia matunda, ...angalia kwamfano more than 10,000/= civil servants wamefukuzwa kazi kwa matatizo ya vyeti lakini kuna mtu mmoja ambaye nchi nzima na dunia nzima inawasiwasi na vyeti vyake lakini hajawahi hata kuundiwa tume tu...nchi gani ya kistaarabu inaweza kufanya hivyo?...kinachomponza Trump ni kwamba huwa anasema ukweli toka moyoni siku zote ile hekima ya kumezea mate ili usiumize mioyo ya wengine huwa hana ila siku zote huwa anasema ukweli au ni kuwakilisha nini wamarekani au wazungu walio wengi wanavyofikiria. sensa ya wazungu ingechukuliwa kwa kile wanachowaza mioyoni mwao, hakika utashangaa kuona Trump ndio ameongea kwa ustaarabu zaidi wengine wangetukana tusi kubwa zaidi.
Truth is not racism
 
TRUTH IS NOT RACISM.

The Idea that we should accept it as true is absurd
Its the same Idea that what he uttered is true, and not what he is claiming "Never said anything deragatory" is the truth

The truth shall remain...his belief that we are not anything human but Shit! is Racism
 
Wasemaji wa chama chake na serikali hawajitokeza kurekebisha kauli ya bwana mkubwa na kuwapinga wanaopingana na kauli?
 
ametutukana sana aisee, hakutakiwa kutufananisha kwa namna hiyo, pamoja na kwamba kwakweli sijaumia moyoni kwasababu alichokisema ni kama amewakilisha 90% ya kile wazungu wanachofikiria mioyoni mwao isipokuwa tu hawawezi kutamka. pia kama ulishaishi ulaya kidogo, kiuchumi, haki za binadamu etc hakika hata kama wewe ni mweusi unaweza kuwa na mawazo kama ya trump. Ulaya tukio la Lisu tu lingeshugulikiwa hadi kila mtu angeona limeshughulikiwa, mfano ukimwuliza Tundu Lisu leo aongee juu ya Tanzania kwa yale yaliyomkuta unafikiri atasemaje?...risasi zote zile, africa nchi nyingi watu wanaonewa, wananyimwa furaha na amani,...amano wanayo barabarani lakini moyoni wanaugulia, wana uchungu kumbe hawajui wanakufa kwa presha na magonjwa mbalimbali kwasababu amani mioyoni hamna, na viongozi wengi wamenyima raia amani na furaha. wababe tu wenye pesa ndio wanaishi kufurahia matunda, ...angalia kwamfano more than 10,000/= civil servants wamefukuzwa kazi kwa matatizo ya vyeti lakini kuna mtu mmoja ambaye nchi nzima na dunia nzima inawasiwasi na vyeti vyake lakini hajawahi hata kuundiwa tume tu...nchi gani ya kistaarabu inaweza kufanya hivyo?...kinachomponza Trump ni kwamba huwa anasema ukweli toka moyoni siku zote ile hekima ya kumezea mate ili usiumize mioyo ya wengine huwa hana ila siku zote huwa anasema ukweli au ni kuwakilisha nini wamarekani au wazungu walio wengi wanavyofikiria. sensa ya wazungu ingechukuliwa kwa kile wanachowaza mioyoni mwao, hakika utashangaa kuona Trump ndio ameongea kwa ustaarabu zaidi wengine wangetukana tusi kubwa zaidi.
Yani mkuu umemaliza kila kitu.Bila kusahau watu wanasema mikutano ya Siasa imezuiwa lakini wao kila uchwao wanafanya tena waziwazi mtu ukisema unaambiwa wewe mchochezi. Pesa zinatumika hovyo hazipitii bungeni zinaenda kujenga viwanja vya ndege sehemu ambayo utakua ni hasara tu lakini ukisema inaitwa wewe sio mzalendo.
Watu wanaokotwa baharini wamefungwa kwenye viroba,hakuna uchunguzi wowote unaoendelea. Mwananchi kusema maisha magumu ni kosa (vyum a vimekaza) kiongozi anakutishia jela.
Halafu watu wakiambiwa ukweli wanalalama,mnalalama nini!? Ukweli ndo huo,na ukweli kila siku lazima uume.
 
Kwani ni uwongo mkuu?
1. Zimbabwe Rais katolewa kwa nguvu
2. Rwanda, Burundi
3. Uganda wapipisha kisheria juzi Kati
4. Kenya wanataka kuapisha marais 2
5. Kongo hawataki kuachia madaraka
6. South Rais kajenga kijiji
7. Tanzania nisiseme tu jamani

Mkuu sisi mbona katusifu jamani amna kitu sisi mkuu
Tanzania pyu pyu pyuu
 
Yani mkuu umemaliza kila kitu.Bila kusahau watu wanasema mikutano ya Siasa imezuiwa lakini wao kila uchwao wanafanya tena waziwazi mtu ukisema unaambiwa wewe mchochezi. Pesa zinatumika hovyo hazipitii bungeni zinaenda kujenga viwanja vya ndege sehemu ambayo utakua ni hasara tu lakini ukisema inaitwa wewe sio mzalendo.
Watu wanaokotwa baharini wamefungwa kwenye viroba,hakuna uchunguzi wowote unaoendelea. Mwananchi kusema maisha magumu ni kosa (vyum a vimekaza) kiongozi anakutishia jela.
Halafu watu wakiambiwa ukweli wanalalama,mnalalama nini!? Ukweli ndo huo,na ukweli kila siku lazima uume.
AFRICAN COUNTRIES ARE SHIT HOLES
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Usifosi kutafuna muwa kwa mata.ko, nchi nyingi tu hazijagundua chochote na zinasonga, talanta haifosiwi. Usitake kudhalilisha waafrika kisa hawajagundua kitu, unafikiri nchi zote zilizomo katika list ya developed countries zimefanya ugunduzi? Jithamini mwana, kwasababu kutojikubali na kukubali kudharauliwa hakukubadilishi kuwa mzungu
 
Back
Top Bottom