Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Kukosea ni kuenda kinyume na matakwa ya kitu au jambo fulani.
Nadhani nimekujibu ndg diaspora?
Hujajibu katika muktadha.

Kama matakwa ni uende kinyume na matakwa, na ukienda kinyume na matakwa umekosea kwa mujibu wako, ukienda kinyume na matakwa, umekosea au umepatia?

Kwa sababu, kwa kila "jambo fulani" atakalokosea, kuna la kinyume chake atakalokuwa kapatia.

Kwa kila Wapalestina atakaokuwa kawakosea, kuna Wayahudi wengi atakaokuwa kawafurahisha.

Kwa kila Democrats atakaokuwa kawakosea, kuna Republicans atakaokuwa kwafurahisha na kuwapatia.

Kwa kila conservatives atakaokuwa kawafurahisha na kuwapatia, kuna liberals ataeakosea.

Kwa Trump jambo muhimu kabisa analotakiwa kulifuatisha ili asikosee ni lipi?
 
Hujajibu katika muktadha.

Kama matakwa ni uende kinyume na matakwa, na ukienda kinyume na matakwa umekosea kwa mujibu wako, ukienda kinyume na matakwa, umekosea au umepatia?

Kwa sababu, kwa kila "jambo fulani" atakalokosea, kuna la kinyume chake atakalokuwa kapatia.

Kwa kila Wapalestina atakaokuwa kawakosea, kuna Wayahudi wengi atakaokuwa kawafurahisha.

Kwa kila Democrats atakaokuwa kawakosea, kuna Republicans atakaokuwa kwafurahisha na kuwapatia.

Kwa kila conservatives atakaokuwa kawafurahisha na kuwapatia,

Anatakiwa kuendelea kusema ukweli na kukitetea kwa nguvu alichokisema.
Eg, nchi za africa ni Sithole yuko sahihi sana
Jerusalem iwe makao makuu ya Israel yuko sahihi pia mwenye nguvu mpishe
 
Ukweli ni kitu muhimu. Hata mimi naupenda.

Kama kusema ukweli kutasababisha kesho Kim Jong Un apige Marekani yote kwa nyuklia na kuifanya iwe majivu Donald Trump aseme tu huo ukweli na kuifutilia mbali Marekani usoni mwa dunia?
 
Siamini sana katika uwezo wa Kim jong kuipiga marekani.

Amini TRUMP ni mkweli
 
8aba582885e0617792a3b6e467b47f52.jpg

Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa

Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Huyo rais wa Botswana ana muda mwingi sana wa kuchezea! Unamjibu Trump ili iweje! Ukianza jibishana na kichaa nani ataonekana ni mzima kati yenu! Mie nafikiri dunia nzima ingempuuza tu Trump maana katika uhalisia Africa na Tz ikiwemo haiwezi kamwe kuwa 'shithole'! Unapopambana naye sana inaanza kuonyesha kama kuna ka ukweli ndani yake...maana ukweli huwa mchungu muda mwingine!
 
Trump yuko sahihi kabisa.nchi za Africa wanapenda mtelemko.badala ya kubaki Africa na kujenga nchi zetu watu wanaenda kujazana ulaya marekani.ndio maana south Africa na msumbiji walianza kuwatimua wahamiaji kwa mapanga.pia maneno ya trump ya kawaida sana.mbona sisi wenyewe Mara tunaitana wapumbuvu Mara karai.Mara nyumbu Mara malofa Hawa.
Mara nyani
 
Hujajibu katika muktadha.

Kama matakwa ni uende kinyume na matakwa, na ukienda kinyume na matakwa umekosea kwa mujibu wako, ukienda kinyume na matakwa, umekosea au umepatia?

Kwa sababu, kwa kila "jambo fulani" atakalokosea, kuna la kinyume chake atakalokuwa kapatia.

Kwa kila Wapalestina atakaokuwa kawakosea, kuna Wayahudi wengi atakaokuwa kawafurahisha.

Kwa kila Democrats atakaokuwa kawakosea, kuna Republicans atakaokuwa kwafurahisha na kuwapatia.

Kwa kila conservatives atakaokuwa kawafurahisha na kuwapatia,

Kwa Trump jambo muhimu kabisa analotakiwa kulifuatisha ili asikosee ni lipi?
Wewe unaleta udini sasa ya palestina na waisrael yamekujaje?ongelea Afrika na USA bwana hizo chuki zenu na wayahudi hukohuko mkamalizane.
 
Trump katukana Afrika unaingiza korea kusini wa nini bwana?ongelea linalohusu Trump na Afrika tu,ebo!!
Mkuu nadhani hujajua Kim jong katokea wapi kwenye hiyo reply huo ni mfano alioutoa bwana Al watan na nikamjibu

Kuwa makini
 
Wewe unaleta udini sasa ya palestina na waisrael yamekujaje?ongelea Afrika na USA bwana hizo chuki zenu na wayahudi hukohuko mkamalizane.
Wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo.

Naongelea polarization za jamii zinavyofanya hata ukweli uweze kusababisha sumu na unavyotakiwa kuelezwa kwa weledi.

Ndiyo maana nikataja Republicans na Democrats hapo pia.

Ila kwa sababu wewe unatumia akili ndogo kama ya nyungunyungu ukaonabudini tu.

Wakati mimi sina dini na siamini hata kwamba Mungu yupo.

Acha uguluguja.
 
Democratic na republican umechomekea tu acha zako usijione una akili nyingi usilete udini hapa na misimamo yenu ya kipuuzi,angalia hata post ulizojibiwa wameliona hilo la palesyina na israel kuwa unatetea palestinawaachie mambo yao!!
 
Huyo rais wa Botswana ana muda mwingi sana wa kuchezea! Unamjibu Trump ili iweje! Ukianza jibishana na kichaa nani ataonekana ni mzima kati yenu! Mie nafikiri dunia nzima ingempuuza tu Trump maana katika uhalisia Africa na Tz ikiwemo haiwezi kamwe kuwa 'shithole'! Unapopambana naye sana inaanza kuonyesha kama kuna ka ukweli ndani yake...maana ukweli huwa mchungu muda mwingine!
Kuna ujumbe wa Bunge la Marekani unaenda Botswana.

Watu wameuliza, kama huku ni shithole wanakuja kufuata nini?

Wafanyabiashara wa Marekani kibao wako Gaborone wanafanya biashara ya almasi.

Gaborone Botswana kuna soko la kimataifa la almasi.

Wanaukiza, na hapa napo ni shithole?

Kama ni shithole mnafuata nini?

Utasemaje haya ni maswali ya kupoteza muda wakati yana mantiki na yanahoji kauli za rais wa Marekani?
 
Democratic na republican umechomekea tu acha zako usijione una akili nyingi usilete udini hapa na misimamo yenu ya kipuuzi,angalia hata post ulizojibiwa wameliona hilo la palesyina na israel kuwa unatetea palestinawaachie mambo yao!!
Nitaleta vipi udini wakati mimi sina dini na siamini Mungu yupo?

Udini nitauanzia wapi?

Naona hili jina la "Al-Watan" linawachanganya sana guluguja wenye akili fupi.

Ukiona "Al-Watan" tu una hitimisha huyu Muislamu. Ukiona kataja Palestina na Wayahudi una hitimisha analeta udini.

Tumia ubongo kusoma na kuelewa.

Usiende kwa reflex action kama guluguja.
 
Mtu akikwambia ukweli wa jinsi ulivyo, sio mbaya bali anataka ujitambue. Huwezi kukata kwamba Afrika sio "shithole" wakati tunapokea mitumba hata ya nguo za ndani ambazo kwao wanatupa kwenye shimo la taka!
 
Halafu swala ambalo hao walalamikaji wa kutukanwa wanashindwa kuelewa, alichoongea Trump kinawakilisha mtazamo wa asilimia kubwa ya wazungu kulihusu bara la Africa na waafrika wenyewe, hivyo hakuna jipya hapo. Sababu limeongelewa na rais limeonekana jambo kubwa na geni, lakini ukweli ni kwamba huo ndio mtazamo wa wazungu kulihusu hili bara letu la giza na sisi watu weusi.
 
Back
Top Bottom