Botswana waichana live USA

Mkuu nakubaliana na wewe siasa ni maisha ya kila siku,lakini kwa upande wangu namkubali mwanasiasa wenye siasa inayonifaa kwa wakati husika,.

sina mapenzi na chama chochoe cha siasa,sina uanachama wa chama chochote cha siasa kama walivyo wengi wa watanzania,kura yangu nampa yule ninaeona ana sera nzuri kwa wakati husika...
 
Trump ni mgonjwa kumbuka Ronald Regan
Km ni mgonjwa unafikiri yupo sawa na Magu? Unafikiri yule mwandish Michael wolf angekuwa bongo na angeandika Fire and Fury inside the president Magufuli leo yaan muda huu tunavyoongea angekuwa jela au alishapigwa risasi na watu wasiojulikana.
Africa is shithole
 
Umefunguliwa dunia na umechagua unachotaka na umeamua kuwa kama trump alivyo sema!
Hatareee
 
Umefunguliwa dunia na umechagua unachotaka na umeamua kuwa kama trump alivyo sema!
Hatareee
Huyo wa Botswana muda si mrefu naye atachakachua katiba ili aendelee kutawala.
Ndiyo ujue trump is right
 
Huyo wa Botswana muda si mrefu naye atachakachua katiba ili aendelee kutawala.
Ndiyo ujue trump is right
Una matatizo kweli kweli walahi
Hebu kaa mbali nami usije ukanipa ugonjwa wa kujichukia!
Naomba usinijibu maana nakuweka kwenye ignored list!
Kutokuelewa kwako kunatisha kama ukoma walahi bye bye
 
Hongera mtumwa unayejielewa
 
You said it all. Hebu ukija Dar nitafute ukale karori KFC.
 
Una matatizo kweli kweli walahi
Hebu kaa mbali nami usije ukanipa ugonjwa wa kujichukia!
Naomba usinijibu maana nakuweka kwenye ignored list!
Kutokuelewa kwako kunatisha kama ukoma walahi bye bye
Utashangaa naye Mugabe, Kagame, Magu, Mseveni na Kuruzinza nao wanakuja juu wakati ndiyo hao wanafanya Africa kuwa shitholes.
Bonyeza kitufe cha ignore ili povu lisikutoke zaidi.
"Km raisi anasema hakuna kusema vyuma vimekaza huo ndiyo U-Shitholes'' huwezi kuwazuia watu waseme jambo.
[HASHTAG]#SHITHOLES[/HASHTAG]
 
Eeeh! Mimi ni Ke my friend
Goddess Isis
Reality kila mtu ni mgonjwa wa akili ila kuna magonjwa mengine yamezidi haswa personality disorder (narcissism) mara nyingi huwa wanayo viongozi wa kisiasa hata huku kwetu wapo ila ni kwamba africans ni shithole[emoji372]
 
Ni wewe, definitely not me!
Midomo inaumba ndugu yangu
Wewe endelea kujiita shithole tu!
 
Ni wewe, definitely not me!
Midomo inaumba ndugu yangu
Wewe endelea kujiita shithole tu!
Unajua ukweli huwa ni mgumu ila mzuri na unauma ndio maana hata mkulu wetu akiambiwa ukweli huwa anatia biti trump hajakosea inabidi waafrica wasibitishie dunia kuwa sio ma'shithole[emoji372] ila sio kwa kuandika vijibarua vya kijinga kuthibisha wao ni shithole
 
Likichaa lile limewekwa kama dummy tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…