ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Yote mbaya tu!Shithole na asshole ipi ni mbaya
Dadeki zake mzee huyu WALAHI
Ngoja lipate stroke ghafla walahi!
MAULANA mkubwa!
Yote mbaya tu!Shithole na asshole ipi ni mbaya
Hana tofauti na sizonje au PogbaTrump anajulikana kwa tabia zake, kauli zake na mambo yake ya kukurupuka ovyo...
Atakalo amka nalo ndiyo hilo hilo...
Cc: mahondaw
Sasa kwani shimo la choo linavutia?Tatizo letu sisi wabongo ni kutokujua Kiingereza vizuri. Watu wengi wanatafsiri neno "shit-hole" moja kwa moja na kusema eti ni shimo la choo. Hapana, maana ya neno hili "shit-hole" ni sehemu chafu sana, ya ovyo ovyo isiyokuwa na mpangilio au unaweza kusema; sehemu isiyovutia.
shithole
ˈʃɪthəʊl/
noun
vulgar slang
noun: shit-hole
Kiukweli Trump hajakosea kusema Africa is a shit-hole, Africa ni chafu kwenye kila kitu, kwenye uongozi, kwenye mitaa, kwa watu binafsi wengi wetu ni wachafu sana. Miji yetu ni michafu mpaka karne hii ya 21 bado Africa kuna kipindu pindu hasa hapa kwetu Tanzania.
- an extremely dirty, shabby, or otherwise unpleasant place.
"this place is a shit-hole, I hope you know that"
So if you put it metaphorically, Trump is right, Africa is really a shit-hole and I agree with 100%
Haya fafanua kiongoz
Tumia akili kidogo mkuu
Ishu siyo kumsusia trump
Ishu ni kubadirika,
Heshima haivutwi itakuja yenyewe kadri ya unavyoishi na kujismamia na kujitambua,
Unarudisha mabarozi halafu watu wako unawapiga risasi na kuwabana wakikukosoa matusi yataishaje
Sio mimi na familia yangu. Wewe kama ni mtu mweusi na mwafrika ni shithole...ni mtu wa hovyohovyo tu ukijicompare with other races.Mkuu we na familia yako labda ndio shithole.
Kwani amekosea wapi?
Nchi za Afrika ni shimo la choo.
Kama unaweza kupita barabarani na kuona vinyesi vikitapakaa barabarani na mitaroni baada ya chemba kutibuliwa kuna tofauti ipi na shimo la Choo?
Mfano mzuri ni jiji la Dar es Salaam.
Kuhusu Waafrika kuwa Watumwa, bado Waafrika ni Watumwa, ila utumwa wa leo si wa kutobolewa miguu na kuvishwa minyororo.
Tuna utumwa binafsi wa fikra, kisha vijana na wazee wa kiafrika ni Watumwa mpaka katika makampuni na viwanda vya wahindi.
Kama watu wanatoil asubuhi mpaka jioni na kusweat haswa katika kiwanda cha nguo cha muhindi na kulipwa sh. Elfu 80 kwa mwezi si utumwa?
![]()
Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa
Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe akili
Mimi leo hii ningekuwa Rais ningefukuza balozi wa USA sasa hivi na sitaki misaada yao tena jitu linawatusi hafu viongozi wetu wamekaa kimya fukuza ubalozi wote kataa misaada yao basi kwani nini
Naona umeamua kutukana wazazi wako waliokuzaaUkitaka kujua waafrika ni wachafu, nenda dsm utaona inavyonuka very true Trump Ila ukweli unauma Sana , Kigali pekee ndio nàona angalau kidogo
Kuongea na wake zetu pia.. Chandarua za mbu hivyohivyoKwani uongo ...
Kama mnatengenezewa Vyoo kwa hisani ya Watu wa Marekani