Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Kama wewe si mchafu kina kuuma nini?
Mfano mimi najua si mchafu na hainihusu
Hivyi mtu akikuambia wewe mfupi ila wewe ni mrefu kuna shida?
 
Hapa ingekua Rais Magufuli katamka maneno model hii, tungeona vijana wa ufipa njisi povu linavyowatoka, kwa vile ni Trump wamefurahi kinoma, wapo kimya
 
ukichukulia mfano wa ccm..
miaka 55 wanakula ikulu tangu TANU na ukiwachallenge wanakufuta kwenye ramani ya tanzania..
na haya mabao ya mikono wanayopiga..
na uhongaji wa kodi ili kununua wabunge na madiwani..
na ule uchafu wa museveni, mogabe, zuma, kagame, nkuruzinza, kabila, moi..
TRUMP hajatuonea, TUJITAFAKARI..
 
Huu ukweli aliousema Trump unatuumiza sana.
Ktk ukanda wetu wa Sub Sahara Afrika, ni Botswana pekee ndio wana ujasiri wa kumkemea Trump maana wao wamevuka ujinga wa nchi nyingi za Afrika kisiasa na kiuchumi, wengine hawana huo ujasiri kwa kuwa hawajafikia viwango vya ustaarabu wa Watswana, hata Afrika Kusini kwa mambo anayofanya rais wao Zuma, hawana ujasiri huo.

Vv
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Kumbe kweli we we upon gizani. Tanzania tuna vitu na vumbuzi za kujivunia. Kwanza chanjo ya Malaria ilinguduliwa katika kituo cha utafiti Ifakara - Moro, WHO waligoma kutupa hati miliki wamerika wakaichukua na wakajifanya wameigundua wao tena wakaibadilisha ili tuamia haifanyi kazi pia kumbuka Mradi wa mbu Jangwani na Muhimbili ilikuwa ni majaribio mbu walikuwa wengi. 2. Uvumbuzi wa viazi lishe venye vitamin A nyingi baada ya Sirikali kusutukia chanjo ya matone. 3. Tanzanite nipo Tanzania tu, mbona wanai-disvalue. 4. Vyura wa Kihasi - Moro wamerikani walichukua baadhi kwenda na US kisha walipozaa aliwarudisha lakini walikuwa wana magonjwa ili vyura wote wafe pale Kihasi wabakie Marekani tu. Wataalamu wetu waligundua na walizibiti magonjwa hayo. Kumbuka vyura wa Kihasi wanazaa na wanpatikana Tanzania tu. Labda kwa sasa na Marekani. 4. Uranium, kwa miaka kumi na ushee hivi kulikuwa na mradi fulani wa UKIMWI mikoa ya Mbeya, Iringa na Ruvuma. Mradi huo uliongozwa na Marekani, walikuwa wanchunguza Uranium. Marekani ajenge barabara toka Ruvuma hadi Mtwara bure. 5. Serengeti hakuna hifadhi duniani yenye wanyama mbalimbali kama serengeti. 6. Mt. Kilimanjaro is only highest free stand mountain in the world. Maana yake unapanda mpaka juu bila kutumia kamba. 7. Uvumbuzi wa panya watengua mabomu toka pale Moro mbona wazungu wapo kimya. 8. Uvumbuzi wa M-pesa wazungu hawaupendi kabisa wanauzuia usiingie kwao wao wanakazania ATM card na electron card mbalimbali kwa nini wasichukua M-Pesa. Ndio maana tuwe makini na Bitcoin. Hii inakuja kufanya mtikisiko wa Uchumi wa Dunia baadaye. 9. Nembo ya Taifa. Tanzania pekee ndiyo nchi ambayo kwenye nembo yake kuna mwanaume na mwanamke. Nchi nyingine ni wanyama au mimea tu kwenye nembo zao za Taifa. TAFAKARI.

Mbona mfupa wetu wa Dinasosi ambao upo Ujerumani hawaurudishi? Kwa nini?
 
Ni kweli Waafrika ni watu wachafu sana.
Hawa wazungu wataendelea kututukana kwa sababu si si wenyewe hatuhishimiani. Waswahili wanasema ujihishimu ili wengine wakuhishimuni, leo hii watu wanapiga kura wanamchaguwa wanaemtaka lakini mamlaka inaingilia kati na kumtangaza wanaemtaka wao sasa huo kama c unyama tuite nini, watu wanapigwa na kuuwawa kwa sababu za kisiasa sasa huo kama si unyama nini kama tukisema c unyama vile vile si ubinaadamu ,sasa kabla hatujamlaumu Trump turekibishe tabia zetu.
 
ametutukana sana aisee, hakutakiwa kutufananisha kwa namna hiyo, pamoja na kwamba kwakweli sijaumia moyoni kwasababu alichokisema ni kama amewakilisha 90% ya kile wazungu wanachofikiria mioyoni mwao isipokuwa tu hawawezi kutamka. pia kama ulishaishi ulaya kidogo, kiuchumi, haki za binadamu etc hakika hata kama wewe ni mweusi unaweza kuwa na mawazo kama ya trump. Ulaya tukio la Lisu tu lingeshugulikiwa hadi kila mtu angeona limeshughulikiwa, mfano ukimwuliza Tundu Lisu leo aongee juu ya Tanzania kwa yale yaliyomkuta unafikiri atasemaje?...risasi zote zile, africa nchi nyingi watu wanaonewa, wananyimwa furaha na amani,...amano wanayo barabarani lakini moyoni wanaugulia, wana uchungu kumbe hawajui wanakufa kwa presha na magonjwa mbalimbali kwasababu amani mioyoni hamna, na viongozi wengi wamenyima raia amani na furaha. wababe tu wenye pesa ndio wanaishi kufurahia matunda, ...angalia kwamfano more than 10,000/= civil servants wamefukuzwa kazi kwa matatizo ya vyeti lakini kuna mtu mmoja ambaye nchi nzima na dunia nzima inawasiwasi na vyeti vyake lakini hajawahi hata kuundiwa tume tu...nchi gani ya kistaarabu inaweza kufanya hivyo?...kinachomponza Trump ni kwamba huwa anasema ukweli toka moyoni siku zote ile hekima ya kumezea mate ili usiumize mioyo ya wengine huwa hana ila siku zote huwa anasema ukweli au ni kuwakilisha nini wamarekani au wazungu walio wengi wanavyofikiria. sensa ya wazungu ingechukuliwa kwa kile wanachowaza mioyoni mwao, hakika utashangaa kuona Trump ndio ameongea kwa ustaarabu zaidi wengine wangetukana tusi kubwa zaidi.
 
Sijawahi pata tamaa kwenda USA, baadhi nafanya nao kaz.....ni kweli hawa watu wanatudharau kweli kweli.
 
Back
Top Bottom