Botswana waichana live USA

Botswana waichana live USA

Trump sio mgonjwa wala hajawai kuwa mgonjwa

Trump ni mropokaji ukweli mtupu tena kama waafrika tutatafakari maneno anayosema tutajirekebisha

Its true africa ni shithole na hio yote ni sababu ya viongozi wetu wa kisiasa kua walafi wakupitiliza na ma selfish wasiojali maisha ya raia wao bali wanajali matumbo yao , kazi kujikusanyia mihela ktk mi bank huko nje na kuzifanya nchi za africa ziwe like hell

Africa was shithole , is shithole and will be shithole hadi pale tutapopata viongozi wenye machungu na raia wao na moyo wa dhat wa maendeleo kwa nchi zao
Nitasema tena ana MENTAL ILLNESS maana kiongozi wa taifa kubwa kama lile hawezi kuwa na maneno ya uwendawazimu!
Binadamu Mwenye akili zake timamu huwa anaongea kwa hekima na ufahamu!
Lakini nisamehe kama kwa upande wako unaona ni sawa mtu kuwa hivyo kwani watu tunatofautiana katika mambo ya ustaarabu!
BUSARA NI MUHIMU!
Na mimi nina amini marekani pia ilikuwa kwenye shithole wakatafuta njia wakatoka na sisi AFRICA pia tutapata njia tutatoka tu!
Kwani civilization ilianza wapi?
Naomba umsome MANSA MUSA OF MALI....usijichimbie kaburi na kujidharau na kuto kujiamini kiasi hicho!
Rome was not built in a day, have faith!
Wewe sio MAVI!
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Kuminya demokrasia na utawala wa sheria
 
Ukitaka kujua waafrika ni wachafu, nenda dsm utaona inavyonuka very true Trump Ila ukweli unauma Sana , Kigali pekee ndio nàona angalau kidogo
Uchafu anaosema yy siyo tu wa miili na mazingira,
Uchafu wa akili
Uchafu wa masuala ya kijamii
Uchafu wa kukosa ustaarabu
Uchafu wa kukosa imani
Uchafu wa kutojitambua na kujisumamia
Nk nk
 
Kwani amekosea wapi?

Nchi za Afrika ni shimo la choo.

Kama unaweza kupita barabarani na kuona vinyesi vikitapakaa barabarani na mitaroni baada ya chemba kutibuliwa kuna tofauti ipi na shimo la Choo?

Mfano mzuri ni jiji la Dar es Salaam.

Kuhusu Waafrika kuwa Watumwa, bado Waafrika ni Watumwa, ila utumwa wa leo si wa kutobolewa miguu na kuvishwa minyororo.

Tuna utumwa binafsi wa fikra, kisha vijana na wazee wa kiafrika ni Watumwa mpaka katika makampuni na viwanda vya wahindi.

Kama watu wanatoil asubuhi mpaka jioni na kusweat haswa katika kiwanda cha nguo cha muhindi na kulipwa sh. Elfu 80 kwa mwezi si utumwa?
Mkuu we na familia yako labda ndio shithole.
 
Najiskia afueni Kidogo Where is AU? Thank you Botswana! I can't thank you enough!

The AU must call extraordinary meeting to condemn these remarks! Whera are you KAGAME?
 
Naomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Kukuza shafti
 
Ni lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.

Ni sababu zipi zinaweza kuthibitisha kuwa waafrika si wajinga kwa kujilinganisha na wazungu au wa asia.?
Kabisa,usipokubali pungufu lako hauwezi kuliondoa
 
Trump amesama ukweli ila aibu ni viongozi wetu mpaka sasa nchi yetu miaka 50+ baada ya uhuru.....tunahimiza watu kua na vyoo eti "nyumba ni choo" kwenye t.v. na radio.......tunaambiwa kunawa mikono baada ya kutoka chooni duh eti a wamu ya 1,2,3,4,5 mafanikio sufuri shule za msingi hazina toilets na running water eti elimu bure nauchafu wote huo.
 
Ni lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.

Ni sababu zipi zinaweza kuthibitisha kuwa waafrika si wajinga kwa kujilinganisha na wazungu au wa asia.?
Siasa imekatazwa nowdays. Am holding my comments
 
Tatizo letu sisi wabongo ni kutokujua Kiingereza vizuri. Watu wengi wanatafsiri neno "shit-hole" moja kwa moja na kusema eti ni shimo la choo. Hapana, maana ya neno hili "shit-hole" ni sehemu chafu sana, ya ovyo ovyo isiyokuwa na mpangilio au unaweza kusema; sehemu isiyovutia.

shithole
ˈʃɪthəʊl/

noun
vulgar slang
noun: shit-hole

  1. an extremely dirty, shabby, or otherwise unpleasant place.
    "this place is a shit-hole, I hope you know that"
Kiukweli Trump hajakosea kusema Africa is a shit-hole, Africa ni chafu kwenye kila kitu, kwenye uongozi, kwenye mitaa, kwa watu binafsi wengi wetu ni wachafu sana. Miji yetu ni michafu mpaka karne hii ya 21 bado Africa kuna kipindu pindu hasa hapa kwetu Tanzania.

So if you put it metaphorically, Trump is right, Africa is really a shit-hole and I agree with 100%
Shithole na asshole ipi ni mbaya
 
Kweli nimepita soko la mabibo jioni hii harufu kali sana.
 
Afrika inazo changamoto nyingi,lakini si sahihi hata kidogo kutumia kauli kama hiyo.

Hongera serilikali ya Botswana kwa kuliona hilo na kulichukulia hatua mapema.
Ulistahili uungwaji mkono,lakini bahati mbaya wenzio wako busy na masuala mengine ya kuwazia kubadili katiba hususan vipengele vya ukomo wa madaraka.
Umesema kweli
Katika maisha hakuna kitu kibaya kama kujidharau!
Mwendawazimu yule mzee!
 
Wafrika bhana. Mnapenda kukuza mambo.

Sisi huku Tz hatuwez sema kitu. Tumesha zoea hata kutukanwa na viongozi wetu. Soo tumesha zoea
 
"...Wahamiaji kutoka Africa, Haiti na El Salvador ni wachafu... kwanini Marekani ipoteze hela nyingi kusaidia watu wanaotoka dampo!?..." Don Trump

Huu ni muendelezo wa matamshi tata ya Trump dhidi ya Africa na jamii ya watu weusi, tukirejea wakati ule wa kampeni ya Urais wa Marekani Bwanyenye Trump alisema waziwazi bila kumung'unya maneno na kupepesa macho kwamba Africa inapaswa kutawaliwa kikoloni kwa mara nyingine na sababu kuu aliyoitoa ni kwamba utawala katika mataifa mengi ya Africa yanashindwa kuheshimu sheria (katiba) zilizowekwa kisheria. Kwa kauli hiyo viongozi wa mataifa ya Africa "walifyata" kimya.

Trump huyu huyu alisha toka matamshi ya dhihaka kwa watu weusi kana kwamba ni wavivu na wapenda ngono na hapa Africa tulikaa kimyaa.
Hivyo basi naona hata hiyo kauli ya 'uchafu' litafumbiwa macho na mdomo na viongozi wetu wa Africa,

Nisiwachoshe
 
Back
Top Bottom