Sasa wewe uko Dunia gani Habari za juzi wewe ndio unazileta leo JF? hapa ndipo habari zote huanzia, hii habari yako imeshachacha.
si kweli,kwani kila sikukuu huwa boti zinazama?Huhitaji kuwa mnajimu kujua kwamba muda huu wa sikukuu watu wanajazana kwenye miboti na uwezekano wa ajali ni mkubwa.
Hata MV Spice Island ilizama around sikukuu ya Idd.
si kweli,kwani kila sikukuu huwa boti zinazama?