Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 13,296
- 22,503
Alikuwa ana kudharau sana na wewe uliamini ukimpa pesa atakupenda.Asante sana kwa wimbo huu...
Nimeusikiliza nikajifunza.
Nimewahi kuwa na manzi. Alikuwa mtu wa kulalamika sana kuwa ana shida, hana Bahati ana mikosi... Ila ukimuangalia unagundua anashida yeye.
Unampa million inaisha siku 3, kesho anakuomba buku ๐๐๐๐ anakwambia humjali, na ukimpa hakutafuti tena Hadi iishe...
Aisee ngoja nitumie huu wimbo I don't want peace
Mapenzi hayauzwi Baba shuktuka.