Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,639
- 2,141
Hivi haya majina ya vimbunga na majanga mengine nani amepewa jukumu la kuyapa majina na vinatumika vigezo gani kutoa majinaWalidhani Hidaya Bado yupo chumbani anavaa ujuba? Fear women
Hivi haya majina ya vimbunga na majanga mengine nani amepewa jukumu la kuyapa majina na vinatumika vigezo gani kutoa majinaWalidhani Hidaya Bado yupo chumbani anavaa ujuba? Fear women
"Hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida" Haichagui mtu siku wala mwaka oohh, Haina katu taarifa shida uingia bila hodi. Si mtoto wala mkubwa iko shida...." by Marehemu Baraka Mwinshehe
View: https://youtu.be/OjDi5NajUy8
Sidhani kama ni umasikini tu, tanzania hatujazoea vimbungaHakika mkuu, umaskini ni mbaya sana, pamoja na tahadhari zote zile lakini bado wanaingia baharini,
Mungu awafanyie wepesi wapatikane wakiwa wazima,
We fala sio kwa kunichekesha huku msibani acha ujinga😂Walidhani Hidaya Bado yupo chumbani anavaa ujuba? Fear women
Mkuu,
Huo wimbo ni remmy ongala au baraka😊
Andika kwa utuo mkuu...haraka ya nini!?Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
Baraka Mwinshehe...
Ule wa Remmy huu hapa chini...
View: https://youtu.be/XGoKmUU-Rqs?si=4nqD40P_IAyBqgZ5
Watakwambia walikuwa busy kutafuta hela 😂😂😂😂Pole yao.....ila kwa tahadhari na hali ya hewa ile hawakutakiwa
Kuingia baharini
Ova
Asante mkuu nimeusikilizaa
Baraka Mwinshehe...
Ule wa Remmy huu hapa chini...
View: https://youtu.be/XGoKmUU-Rqs?si=4nqD40P_IAyBqgZ5
Baraka Mwinshehe...
Ule wa Remmy huu hapa chini...
View: https://youtu.be/XGoKmUU-Rqs?si=4nqD40P_IAyBqgZ5
Una moyo kwa lafudhi ya kiruguru 😊😊😊Asante sana kwa wimbo huu...
Nimeusikiliza nikajifunza.
Nimewahi kuwa na manzi. Alikuwa mtu wa kulalamika sana kuwa ana shida, hana Bahati ana mikosi... Ila ukimuangalia unagundua anashida yeye.
Unampa million inaisha siku 3, kesho anakuomba buku 😂😂😂😂 anakwambia humjali, na ukimpa hakutafuti tena Hadi iishe...
Aisee ngoja nitumie huu wimbo I don't want peace
Mimi in my life time huwa na allergies na wanawake wenye tamaa ya Mali na pesa mfano nilisikiliza interview ya Sarah a.k.a EX_WA TAIFA niligundua alimtesa Sana mondi kipindi mondi anajitafuta yeye simply anamwita Nasibu 😊Asante sana kwa wimbo huu...
Nimeusikiliza nikajifunza.
Nimewahi kuwa na manzi. Alikuwa mtu wa kulalamika sana kuwa ana shida, hana Bahati ana mikosi... Ila ukimuangalia unagundua anashida yeye.
Unampa million inaisha siku 3, kesho anakuomba buku 😂😂😂😂 anakwambia humjali, na ukimpa hakutafuti tena Hadi iishe...
Aisee ngoja nitumie huu wimbo I don't want peace
Ama kweli sikio la kufa halisikii sawa.Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
Kabisa mkuu.ukitaka show unanunua wa elf 5 tu😄Mimi in my life time huwa na allergies na wanawake wenye tamaa ya Mali na pesa mfano nilisikiliza interview ya Sarah a.k.a EX_WA TAIFA niligundua alimtesa Sana mondi kipindi mondi anajitafuta yeye simply anamwita Nasibu 😊
Mkuu love yourself be strong usiyape mapenziiiiiii thamani kuliko unavyo jithamini Kama una nafasi nukia vizuri,vaa vizuri, kula vizuri, kunywa vizuri,lala pazuri, fanya ibada kifupi Kama unanafasi enjoy
Nimekumbushwa na hii Comment yako. Nilitaka niwatukane.....nikakumbuka mama yangu alikuwa anatoka Wakati wa Mvua kali ile ya Mawe kwenda Shambani mbaki kuchimba viazi ili tule.Mungu awasaidie
Waliweka maisha yao rehani ili watoto wasikose chakula
Maisha yetu ya kitanzania, usipotoka hata siku 1 kwenda kufanya kazi basi familia nyumbani wanalala njaa
Mkuu wanawake walikufanya nini mbona umewakatia Tamaa?Mimi in my life time huwa na allergies na wanawake wenye tamaa ya Mali na pesa mfano nilisikiliza interview ya Sarah a.k.a EX_WA TAIFA niligundua alimtesa Sana mondi kipindi mondi anajitafuta yeye simply anamwita Nasibu 😊