Boti sita zimezama huku wavuvi hawajulikani walipo

Daah pana Tajiri mmoja alinipa story siku moja yupo ndani hakuna kitu kabisaa na mvua inanyesha balaa ilibidi atoke na mvua nyingi kwenda kutafuta mkate mjini bahati nzuri alifanikiwa...kwa hiyo hawa watafutaji Mungu awarehemu ukiwa umeshiba hauwezi kujua wenye njaa..
 
Wavuvi husema wao wana roho ngumu sana, wanafanya kazi ngumu sana.
Na awali ya yote, wao wanafahamu hali zote za hewa. Na wanakutana nazo sana.
Hivo vimbunga kwao ni kitu cha kawaida kwao.

Kiufupi jamaa huwa wanajidanganya sana saaaaaana. Hawachelewi kusema kipindi hiki kizuri samak wanakua juu juu au wanasogea.

Wana tabia yakusema leo wamepata sana, while ukiangalia vzuri ni yale yale.
Nishapoteza boti mbilli kwa upuuzi kama huu.
 
Poleni.

Kumbe wavuvi hamna tofauti na wachimbaji!
 
Back
Top Bottom