Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 509
Hapana, sarafu ni tofauti na noti.
Ha ha ha haa...!!! Wachangiaji wengi wanazungumzia noti/note badala ya sarafu/coin.
Hapana, sarafu ni tofauti na noti.
kwaheri
Wakitaka watoe hata ya LAKI moja kabisa ili nisiwe nahangaika nikiingia bar.
Sarafu kwa jina jingine ni noti?
Hapana, sarafu ni tofauti na noti.
heheh mwita 25 bana....
Ha ha ha haa...!!! Wachangiaji wengi wanazungumzia noti/note badala ya sarafu/coin.
kwaheri
Karibu tena!
Ni ajabu watu mnaotegemewa kuwa great thinkerz mnaongea vitu irrelevant kwa case ya kushangaza kama hii!sarafu au noti!!!
Ni ajabu watu mnaotegemewa kuwa great thinkerz mnaongea vitu irrelevant kwa case ya kushangaza kama hii!
Anyway, tuko na kizazi cha mafisadi humu ndani!
uchumi gani wa sarafu ya 50,000/=
ina maana sadaka lazima tutoe hiyo sarafu moja.
Jamani, eleweni thread!
Hii noti ni just ceremonial denomination, na haitaingia kwenye mzunguko wa fedha!
Ila kitendo cha kutengeneza sarafu hii mimi nakiita ulevi tu, maana ni kuchezea rasilimali za nchi, na kutafuta means zote za kujiongezea kipato 'kichafu' kwa baadhi ya maofisa wa BoT!..
Sarafu hiyo itasaidia nini!
Eti kwaajili ya kusherekea niaka 50 ya UHURU,, uhuru wa nani?, nani yuko huru?, nani ameshauri upumbafu huu, na nchi i
Wakitaka watoe hata ya LAKI moja kabisa ili nisiwe nahangaika nikiingia bar.
Benki kuu ya Tanzania BOT imezindua sarafu mpya ya Tsh 50,000/= iliyotengenezwa kwa madini ya fedha ambayo itauzwa katika mabenki kwa ajili ya shamrashamra za miaka 50 ya uhuru je wachumi mliobobea mnalionaje hili na hali ya uchumi wetu ulivyo kwa sasa je ni nani atakubali yaani ununue sarafu ya kufungia chumbani khaaaa!!!!! source tbc jambo leo saa 1 asbh.
Jamani, eleweni thread!
Hii noti ni just ceremonial denomination, na haitaingia kwenye mzunguko wa fedha!
Ila kitendo cha kutengeneza noti hii mimi nakiita ulevi tu, maana ni kuchezea rasilimali za nchi, na kutafuta means zote za kujiongezea kipato 'kichafu' kwa baadhi ya maofisa wa BoT!..
Noti hiyo itasaidia nini!
Eti kwaajili ya kusherekea niaka 50 ya UHURU,, uhuru wa nani?, nani yuko huru?, nani ameshauri upumbafu huu, na nchi inayosherekea uhuru huu ni ipi, kuna Tangantika hapa?, ....my hairs!
Ni wangapi(percentage-wise) ya waTanzania watakuwa na uwezo wa kuinunua fedha hiyo kwa purpose ya kuiweka mchagoni kama pambo?
Lakini watangulizi wetu walishasema kuwa dalili ya mvua ni mawingu!...ukiona inatengenezwa noti ya denomination hiyo ujue kuwa hiyo idea ndiyo iliyopo vichwani mwa maafisa hawa, na believe me or not, this note is on the pipeline, and soon or later you will test its bitterness!
Shenzi kabisa![/QUOTE]
Hiyo bluu nimeelewa sasa muanzisha thread hajatuambia hivyo. Thanks in advance
But hiyo red mmmmhhhh kwani umeamkaje PJ leo???
mmmmmmmmmmmmmmh
sasa tunawakaribia zimbabwe,si ya kuweka ndani,utasikia tu kwamba haya kuanzia leo itatumika rasmi
Tehe tehe tehe tehe tehe!!! Ha ha ha ha ha ha! bwah! bwah! bwah! Wewe msanii bana.mi mwenyewe sielewi kwani TBL c ndo haohao BOT fedha inatolewa na BOT tunakunywa bia za TBL na TBL wanapeleka hela BOT aaaghhh sielewi