Mbona sioni tofauti ya izo pesaKuanzia Sasa kutakuwa na maboresho katika noti zetu hapa Tz, Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT.View attachment 1408154View attachment 1408155View attachment 1408156View attachment 1408157
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ziishe ktk mzungukoZa zamani matumizi yake yanaisha lini ili tuongeze speed ya kuzitumia
Mimi nina hela ya kula kama laki3 halafu kila siku natumia chin ya 3000. Hadi ziishe ni shughuli pevu
Imebadilika ?
Huwezi jua mipangp ya shetani
Tatizo lenu wakongwe mnabadili sana id.
Zitaisha tu,hiyo laki tatu wenzako wanatumia siku mojaMimi nina hela ya kula kama laki3 halafu kila siku natumia chin ya 3000. Hadi ziishe ni shughuli pevu