BoT yatangaza Noti mpya

BoT yatangaza Noti mpya

Serikali instarajia kutia noti mpya ili kuboresha uchumi
IMG_20200404_165020.jpg
 
Samahani at what extent does new notes strengthen our economy if not the household one?

Yaan makaratasi hayo yaboreshe uchumi??
Kuna shida kwenye hii title yako
 
kama wamezifanyia maboresho kwa namna yoyote ile ilibidi watangaze mwezi mmoja kabla ya kufanya hivyo vinginevyo itawapa fursa wale wezi hasa watu wa vijijini watalizwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dollar ya marekani mara ya mwisho kufanyiwa marekebisho ni mwaka gani?

Maendeleo hayana chama
 
Juzi nimetoa pesa Atm kulikuwa na elfu 10 mbili zilizonitatanisha, nikahisi ni pesa bandia lakini nikajipa moyo kwavile nimezitoa bank..Ingekuwa kwa wakala ningemrudishia pesa zake.
 
Serikali inabadili pesa kiholela, tena bila taarifa kwa umma.... hii ni hatari watu watapigwa sana na noti bandia kipindi hiki hadi waje kujua tofauti.

Lengo ni kuchapisha ziada ili kuendesha kampeni za uchaguzi, hii haifai kiuchumi na itazidi kushusha thamani ya pesa yetu.
 
Ndugu,wanajukwaa habari.

Leo nimepokea pasipo kutambua noti ya shilingi elfu tano yenye muonekano mpya kidogo, yaani imepauka kiasi tofauti na ya awali pia mstari wake una muonekano tofauti kabisa na ule wa awali.

Baada ya kukumbana na sintofahamu hiyo niliamua kuwasiliana na muuza duka wa hapa mtaani kwetu ambaye alinieleza kuwa noti hizo zimesambaa sana, na zipo kuanzia Sh. 2000, 5000 &10000

Nilipomuuliza kuhusu uhalali wake amesema yeye hazipokei kwa hofu, zisije zikawa za bandia kwa kuwa hajapata taarifa yoyote kuhusu mabadiliko kwenye noti hizo.

Kwa mwenye taarifa zaidi tafadhali.
 
F4154179-844E-4651-A8D0-64796FBAC6C0.jpeg
9CDF9FC9-E6F0-44F2-A961-002FFA5ABF0C.jpeg

Ndio.
 
Back
Top Bottom