Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Ahsante kwa taarifa
Jana nmepata shida jamani nlienda dukan na note mpya ya elf tano maduka matatu wakaikataa hela wanasema bandia nikajarib kuwaelewesha wanalinganisha note zao na yangu et sahihi hazifanan nawaambia ni mpya kwan walinielewa nkaondoka zang
Sent using Jamii Forums mobile app