FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,924
- 11,305
Asante kwa chapisho la taarifa ya Bank Kuu
Ziko vzur hazina virus wowoteVipi na hizi hazishiki corona kama walivyonitanabaisba juu ya hizo za zamani?
Pole sanaJuzi nimetoa pesa Atm kulikuwa na elfu 10 mbili zilizonitatanisha, nikahisi ni pesa bandia lakini nikajipa moyo kwavile nimezitoa bank..Ingekuwa kwa wakala ningemrudishia pesa zake.
Mtu mzima hovyoo 🤧Hivi ni kipi hasa kinamfanya Corona asidandie noti wakati vitu vingine karibia vyote anaweza?
Tajijuu
Pesa shetani ndugu yanguHivi ni kipi hasa kinamfanya Corona asidandie noti wakati vitu vingine karibia vyote anaweza?
Mkuu kuna wakati ni busara kukaa kimya.JF ni mtandao unaoongoza kwa kuwa na watu "Wajinga" kuliko sehemu nyingine.
Mtu mmoja humu JF kwa ujinga wake alileta Uzi unaosomeka:-
"Kutokana na hali ya uchumi kuwa mbaya nchini, kwa nini serikali isichapishe noti mpya na kuziongeza kwenye mzunguko?"
Halafu baada ya muda serikali imemsikiliza mjinga yule na kufanya aliyopendekeza!
Serikali yetu inasikiliza wajinga? Nashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app