reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,828
- 21,932
Mkuu Tyrese Gibson
Hembu shughulisha Macho yako
Mkuu Tyrese Gibson
Zinautofauti mkubwa sana
Kadri ya barua toka BOT kilichobadilika ni saini ya waziri na gavana lakini security features zingine zote ni zilezile,
Hii ni kweli.Kwa kifupi ni kwamba serikali imeprint sarafu na kuziongeza kwenye mzunguko sambamba na zile ziliopo yaani zilizokuwepo hazitorudishwa serikalini bali zimeongezewa mzunguko zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nataka kuanzisha bank yangu. Nimefuta mawazo. Bora nijenge hospitali ya Rufaa niwatibu watanzania wenzangu kwa gharama nafuu. Korona haikubaliki!Hii ni kweli.
Majuzi nilipeleka saradu nyingi sana huwa ni kawaida yangu kupeleka sarafu na mara nyingi zinakuwa chakavu.
Nikipeleka huwa wananipa notes wao wanachukua sarafu.
Lakini juzi ilikuwa tofauti sana wakakataa kupokea sababu wakasema order ya BOT sasa hivi ni wao kutoa sarafu kwetu ziongezeke kwenye mzunguko na si kupokea.
I was puzzled nikaona labda teller ananiletea kauzibe lakini alikuwa anajiamini sana nikaenda mpaka kwa BM same answer basi nikarudi na fuko langu.
JF ni mtandao unaoongoza kwa kuwa na watu "Wajinga" kuliko sehemu nyingine.Kwa kifupi ni kwamba serikali imeprint sarafu na kuziongeza kwenye mzunguko sambamba na zile ziliopo yaani zilizokuwepo hazitorudishwa serikalini bali zimeongezewa mzunguko zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinautofauti mkubwa sana
Yazamanihebu wekeni noti ya zamani na hizo mpya tutofautishe kwa picha
hebu wekeni noti ya zamani na hizo mpya tutofautishe kwa picha
Kuanzia Sasa kutakuwa na noti Mpya Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT.View attachment 1408154View attachment 1408155View attachment 1408156View attachment 1408157
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu
Ili uboreshe ni lazima utengeneze mpya. Kuna sababu ya msingi? Kutengeneza noti kunahitajika pesa za kigeni, ni busara kuacha kuagiza vifaa kujikinga na Corona? Mbona ilielezwa note zetu ni antivirus? Kuna jambo.
Wanazoziita feki zinakuwa na neno BOT lakini tulizozoea hazina hilo neno nadhan panang'aa tuu