BoT yatangaza Noti mpya

BoT yatangaza Noti mpya

Ili uboreshe ni lazima utengeneze mpya. Kuna sababu ya msingi? Kutengeneza noti kunahitajika pesa za kigeni, ni busara kuacha kuagiza vifaa kujikinga na Corona? Mbona ilielezwa note zetu ni antivirus? Kuna jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maswali niliojiuliza pia lkn hakuna wakuweza kunipa jibu sahihi ..nikaishia kuandika hicho. Maana sioni upya zaidi ya marekebisho ambayo ni kweli yatahitaji process za utengenezaji kama kawaida.

Sisi ni matajiri hela kwetu sio ishu tunazo kwenye ghala.. hata msosi tunao mwingi tu
Walisikika wenye nchi
 
Hiyo kweli bandia. Angalia upindo unao ngaa ni mpana sana
Habari wakuu,
Katika hali isiyo ya kawaida leo nimeenda tigo pesa kufanya muamala pesa niliokabidhiwa na mtu wangu wa karibu kama malipo ya jambo kwa mshangao mkubwa noti nilizotoa za elfu10 tatu dada wa tigo pesa akaniambia hizi fedha ni bandia na zipo nyingi kama hizi kwa Sasa nikajiuliza kweli ndugu yangu mimi naemjua anaweza kunipa ela bandia kwa hasira nikampigia simu nikihamaki ila mara mbili mbili nikinusa noti zina harufu ya fedha kwa hasira nikampigia mshkaji baada ya kumwambia kwa mshangao akaniambia skuizi na mimi ni mjinga ametoka ku draw pesa ATM mda sio mrefu kwahyo ATM sikuizi wanaweka fedha bandia. kiukweli sipo comfortable na hizi fedha kwa sasa mpaka nipate uhakika zaidi wa kuzitumia kwa usalama wangu.

Rai yangu kwa serikali kupitia wizara husika, Kama kweli hizi fedha ni halali nitoe wito na rai kwa serikali kupitia wizara husika naona ni vyema inabidi kabla ya kubadili kungekuwepo na utaratibu ili watumiaji wafahamu mabadiliko.

Na kama sio fedha halali basi serikali iwe makini kwenye hili maana huwezi kutofautisha kwa urahisi huu mfanano. Utofauti unaonekana kwa haraka kwenye utepe uliopita pembezoni kulia. N.B Angalia sign ya waziri&Gavana huenda there is changes.View attachment 1408165

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio yako bandia. Ule mstari wa dash kule pembeni unaanzia juu sawa na maandishi BENK KUU YA TANZANIS na chini hauingiliani na tarakimu 10000
Iyo ndio halali kwa maelezo ya BOT na imegusa tarakimu
Screenshot_20200404-082037~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
jumatatu apa ofisini kwangu nilipokea noti ya elfu 5 kwenye upindo unaong'aa kuna neno BOT lakini features zingine zote zipo vile vile,na nilifikiri ni bandia,

Nafikiri watu tuliowengi bado hatujajua kama kuna noti mpya zimeingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia post yako nilioijibu ile picha ni moja umeituma mara mbili.. unashughulishaje macho sasa ktk picha moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa mzee yani upo serious kbsaa...
Mimi nimetuma picha moja na ya pili nili quote,
Zote ni rofauti...
Screenshot_20200404-085336.png

Imebd nipge screenshot, ulifungua hio attachment kuona zinafanana, au hata hizo fingerpoint hukuzielewa?
Au macho yanaona ni picha moja hio?
 
JF ni mtandao unaoongoza kwa kuwa na watu "Wajinga" kuliko sehemu nyingine.
Mtu mmoja humu JF kwa ujinga wake alileta Uzi unaosomeka:-
"Kutokana na hali ya uchumi kuwa mbaya nchini, kwa nini serikali isichapishe noti mpya na kuziongeza kwenye mzunguko?"
Halafu baada ya muda serikali imemsikiliza mjinga yule na kufanya aliyopendekeza!
Serikali yetu inasikiliza wajinga? Nashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajitambua wewe?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom