BoT yatangaza Noti mpya


Hii yako haipo sawa... reflection ya utepe...

Alafu noti zote huo utepe hauingiliani na neno 10000... hata kwenye elfu 5000 ni hivyo hivyo...



Cc: mahondaw
 
Hii fake. Hizo marks zinaanzia usawa na neno benki kuu ya Tanzania na huku chini zinaishia kwenye neno ELFU yako imeshuka hadi imefunika 0 ya 10,000
 
Kuanzia Sasa kutakuwa na maboresho katika noti zetu hapa Tz, Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT.View attachment 1408154View attachment 1408155View attachment 1408156View attachment 1408157

Sent using Jamii Forums mobile app
BOT bado wako karne ya 19?
Haya maelezo yangeboreshwa kwa video sio maneno meengi tu namna hii.
Hizo features mpya kwa maneno nani atazikariri au kukumbuka? Wangeweka video hata mtoto mdogo angeelewa.
Wanadhani kila mtu anazijua sahihi tofauti za Waziri na Gavana wa zamani na wa sasa?
Hata Trump signature yake inajulikana kwasababu aliionyesha mwenyewe mara nyingi alipoingia madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi unahitajika umakini kwenye kukagua fake zitakuwa nyingi Sana kwenye hizi noti mpya mpaka zije kuzoeleka watalizwa wengi sana
Hii fake. Hizo marks zinaanzia usawa na neno benki kuu ya Tanzania na huku chini zinaishia kwenye neno ELFU yako imeshuka hadi imefunika 0 ya 10,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanusa noti huogopi corona!!,watanzania tuwache mzaha na afya kwa maelezo yako hushindwi kulamba noti ili kuakikisha kama ni bandia au laah,ivi kweli noti bandia huakikishwa kwa kuinusa?NAWA MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI PIA EPUKA MIKUSANYIKO ISIYO YA LAZIMA NA TUMIA VITAKATISHA MIKONO

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…