BOT yapunguza riba ya mikopo kwa Bank za ndani,toka 16% mpaka 12%

Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe! - Bible!

Never hate your enemy, it affects your judgment! - Don Corleone \ The Godfather Part I.
Hahaha sawa mkuu....ila mkopo hata ukiwa asumimos moja kulipaa ni balaaa

Ova
 
Kitendo cha Benki Kuu kurekebisha riba (Discount rate), aidha kwa kuipandisha au kuishusha huzingatia hali ya ukwasi kwenye soko la fedha, kasi ya mfumuko wa bei, na mwenendo wa riba za dhamana za serikali. Hali ya ukwasi inapokuwa imezidi mahitaji ya kiuchumi Benki Kuu hupandisha riba hii ili kuongeza gharama kwa mabenki kukopa kutoka Benki Kuu, hali ambayo husaidia kupunguza ongezeko la mikopo hiyo kwani inakuwa ni ya gharama ya juu. Kwa upande mwingine, hali ya ukwasi inapokuwa imepungua ikilinganishwa na mahitaji ya uchumi mpana, Benki Kuu hupunguza riba yake hii, hali ambayo huvutia haswa mabenki kuweza kukopa Zaidi kwani mikopo inakuwa na unafuu wa gharama na hivyo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Riba hii ni nyenzo muhimu katika kutekeleza na kuainisha mwelekeo wa sera ya fedha (implementation and signalling of the monetary policy stance).

Kuanzia mwezi Julai 2016 hadi Februari 2017, hali ya ukwasi kwenye mabenki imekuwa ikipungua kulikochangiwa kwa kiasi kikubwa na kupungua kwa matumizi ya serikali, hali iliyochangiwa zaidi na kupungua kwa fedha za wahisani kutoka nje ya nchi na kuchelewa kupatikana kwa mikopo ya kibiashara. Pia, juhudi za kusimamia matumizi na makusanyo ya mapato ya serikali, pamoja na kuhamisha amana za mashirika ya umma kutoka benki za biashara kwenda Benki Kuu.

Hatua zote hizi kwa pamoja kulichangia upungufu wa ukwasi kwenye mabenki. Kufuatia mwenendo huu wa ukwasi, Benki kuu kupitia sera ya fedha imeendela kuchukua hatua mbalimbali za kuongeza ukwasi kwenye mabenki ikiwa ni pamoja na kununua fedha za kigeni katika soko la jumla la mabenki na kutoa mikopo ya muda mfupi. Katika jitihada za kuongeza ukwasi, Benki Kuu imefanya tathmini ya mwenendo wa riba katika soko la dhamana za serikali, na kuangalia mwenendo wa mfumuko wa bei na mahitaji ya kuchochea kasi ya ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi na kuona kuwa kuna haja ya kufanya mapitio ya riba (Discount rate) kama nyenzo mojawapo ya sera ya fedha katika kusimamia ukwasi. Kwa mantiki hii na lengo zima la kutaka kuongeza ukwasi kwenye uchumi, Benki Kuu imepunguza riba kutoka asilimia 16.0 iliyokuwapo tangu mwezi Novemba 2013 hadi asilimia 12.0 itakayoanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 6 Machi 2017. Hatua hii inatarajiwa kupunguza gharama kwa mabenki yanapokopa toka Benki Kuu na itasaidia kuongeza ukwasi kwa gharama nafuu na kuchochea ukuaji mikopo kwa sekta binafsi.
 
Siyo wanazijua wenyewe. Ni hesabu za cummulative interest rate. Kwa mfano kama umekopa 10 m na riba ya benki ni 20%:
1. Mwisho wa mwaka wa kwanza rba ni 2 million yaani 20% of 10m. Hivyo utalipa 12 million.
2. Mwisho wa mwaka wa pili rba ni 20% ya 12 million siyo 10 million tena, jawabu lake liite x.
3. Hivyo hivyo mwaka unaofuata riba itakuwa 20% ya (12 +x). Jawabu lake liite y.
4. Mwaka utakaofuata riba itakuwa 20% ya (12+x) +y.

Endelea hivyo hivyo mwaka wa mwisho wa kulipa deni. Assumption hapa ni kuwa ulikuwa hupunguzi deni kipindi chote cha mkopo. Kama ulikuwa unarejesha kidogo kidogo capital itakayotozwa riba ni ile bakaa ya deni ya mwisho wa kila mwaka hivyo itakuwa ndogo kutegemea na kasi ya urejeshaji.

Ni hesabu rahisi tu hizi na zinafundishwa O level secondary school. Ninarudia tena wengi hukimbia hisabati na kwenda kusomea maubishi. Maubishi haya wao huyaita siasa.
Hesabu za mabenki ni kama hesabu za serikali kupandisha mshahara, utasikia tumeongeza mshahara kwa asilimia 50%, sasa kama mshahara wako ulikuwa laki tano unategemea kupata kama nyongeza ya 250,000, lakini...thubutu! Utashangaa zimeongezeka 30,000/= tu!!!

Jamaa yangu alienda kukopa TPB, mikopo nafuu ya wafanyakazi!!!, wakamwambia riba ni 15%, akakopa milioni kumi na moja, alishangaa salary slip inasoma deni Milioni 22!!!
 
Kitendo cha Benki Kuu kurekebisha riba (Discount rate), aidha kwa kuipandisha au kuishusha huzingatia hali ya ukwasi kwenye soko la fedha, kasi ya mfumuko wa bei, na mwenendo wa riba za dhamana za serikali. Hali ya ukwasi inapokuwa imezidi mahitaji ya kiuchumi Benki Kuu hupandisha riba hii ili kuongeza gharama kwa mabenki kukopa kutoka Benki Kuu, hali ambayo husaidia kupunguza ongezeko la mikopo hiyo kwani inakuwa ni ya gharama ya juu. Kwa upande mwingine, hali ya ukwasi inapokuwa imepungua ikilinganishwa na mahitaji ya uchumi mpana, Benki Kuu hupunguza riba yake hii, hali ambayo huvutia haswa mabenki kuweza kukopa Zaidi kwani mikopo inakuwa na unafuu wa gharama na hivyo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Riba hii ni nyenzo muhimu katika kutekeleza na kuainisha mwelekeo wa sera ya fedha (implementation and signalling of the monetary policy stance).

Kuanzia mwezi Julai 2016 hadi Februari 2017, hali ya ukwasi kwenye mabenki imekuwa ikipungua kulikochangiwa kwa kiasi kikubwa na kupungua kwa matumizi ya serikali, hali iliyochangiwa zaidi na kupungua kwa fedha za wahisani kutoka nje ya nchi na kuchelewa kupatikana kwa mikopo ya kibiashara. Pia, juhudi za kusimamia matumizi na makusanyo ya mapato ya serikali, pamoja na kuhamisha amana za mashirika ya umma kutoka benki za biashara kwenda Benki Kuu.

Hatua zote hizi kwa pamoja kulichangia upungufu wa ukwasi kwenye mabenki. Kufuatia mwenendo huu wa ukwasi, Benki kuu kupitia sera ya fedha imeendela kuchukua hatua mbalimbali za kuongeza ukwasi kwenye mabenki ikiwa ni pamoja na kununua fedha za kigeni katika soko la jumla la mabenki na kutoa mikopo ya muda mfupi. Katika jitihada za kuongeza ukwasi, Benki Kuu imefanya tathmini ya mwenendo wa riba katika soko la dhamana za serikali, na kuangalia mwenendo wa mfumuko wa bei na mahitaji ya kuchochea kasi ya ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi na kuona kuwa kuna haja ya kufanya mapitio ya riba (Discount rate) kama nyenzo mojawapo ya sera ya fedha katika kusimamia ukwasi. Kwa mantiki hii na lengo zima la kutaka kuongeza ukwasi kwenye uchumi, Benki Kuu imepunguza riba kutoka asilimia 16.0 iliyokuwapo tangu mwezi Novemba 2013 hadi asilimia 12.0 itakayoanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 6 Machi 2017. Hatua hii inatarajiwa kupunguza gharama kwa mabenki yanapokopa toka Benki Kuu na itasaidia kuongeza ukwasi kwa gharama nafuu na kuchochea ukuaji mikopo kwa sekta binafsi.
Maelezo mazuuuri ya kisomi sana lakini bahati mbaya yametengenezwa ili KUDANGANYA TOTO JINGA!!
 
Hesabu za mabenki ni kama hesabu za serikali kupandisha mshahara, utasikia tumeongeza mshahara kwa asilimia 50%, sasa kama mshahara wako ulikuwa laki tano unategemea kupata kama nyongeza ya 250,000, lakini...thubutu! Utashangaa zimeongezeka 30,000/= tu!!!

Jamaa yangu alienda kukopa TPB, mikopo nafuu ya wafanyakazi!!!, wakamwambia riba ni 15%, akakopa milioni kumi na moja, alishangaa salary slip inasoma deni Milioni 22!!!

Huyo jamaa yako hakuna namna riba inaweza kuwa 15% kisha yeye aje kulipa milion 22. Hebu rudi kamuulize vizuri.
 
Kitendo cha Benki Kuu kurekebisha riba (Discount rate), aidha kwa kuipandisha au kuishusha huzingatia hali ya ukwasi kwenye soko la fedha, kasi ya mfumuko wa bei, na mwenendo wa riba za dhamana za serikali. Hali ya ukwasi inapokuwa imezidi mahitaji ya kiuchumi Benki Kuu hupandisha riba hii ili kuongeza gharama kwa mabenki kukopa kutoka Benki Kuu, hali ambayo husaidia kupunguza ongezeko la mikopo hiyo kwani inakuwa ni ya gharama ya juu. Kwa upande mwingine, hali ya ukwasi inapokuwa imepungua ikilinganishwa na mahitaji ya uchumi mpana, Benki Kuu hupunguza riba yake hii, hali ambayo huvutia haswa mabenki kuweza kukopa Zaidi kwani mikopo inakuwa na unafuu wa gharama na hivyo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Riba hii ni nyenzo muhimu katika kutekeleza na kuainisha mwelekeo wa sera ya fedha (implementation and signalling of the monetary policy stance).

Kuanzia mwezi Julai 2016 hadi Februari 2017, hali ya ukwasi kwenye mabenki imekuwa ikipungua kulikochangiwa kwa kiasi kikubwa na kupungua kwa matumizi ya serikali, hali iliyochangiwa zaidi na kupungua kwa fedha za wahisani kutoka nje ya nchi na kuchelewa kupatikana kwa mikopo ya kibiashara. Pia, juhudi za kusimamia matumizi na makusanyo ya mapato ya serikali, pamoja na kuhamisha amana za mashirika ya umma kutoka benki za biashara kwenda Benki Kuu.

Hatua zote hizi kwa pamoja kulichangia upungufu wa ukwasi kwenye mabenki. Kufuatia mwenendo huu wa ukwasi, Benki kuu kupitia sera ya fedha imeendela kuchukua hatua mbalimbali za kuongeza ukwasi kwenye mabenki ikiwa ni pamoja na kununua fedha za kigeni katika soko la jumla la mabenki na kutoa mikopo ya muda mfupi. Katika jitihada za kuongeza ukwasi, Benki Kuu imefanya tathmini ya mwenendo wa riba katika soko la dhamana za serikali, na kuangalia mwenendo wa mfumuko wa bei na mahitaji ya kuchochea kasi ya ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi na kuona kuwa kuna haja ya kufanya mapitio ya riba (Discount rate) kama nyenzo mojawapo ya sera ya fedha katika kusimamia ukwasi. Kwa mantiki hii na lengo zima la kutaka kuongeza ukwasi kwenye uchumi, Benki Kuu imepunguza riba kutoka asilimia 16.0 iliyokuwapo tangu mwezi Novemba 2013 hadi asilimia 12.0 itakayoanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 6 Machi 2017. Hatua hii inatarajiwa kupunguza gharama kwa mabenki yanapokopa toka Benki Kuu na itasaidia kuongeza ukwasi kwa gharama nafuu na kuchochea ukuaji mikopo kwa sekta binafsi.
Ata mimi sio mchumi nimekuelewa mkuu
 
Nimeona tangazo la BOT kushusha "interest Rate" kutoka 16% mpaka 12% kwa Bank za kibiashara zinapokuwa zinakopa kutoka Benki Kuu Ya Tanzania (BOT)

Punguzo hili litaanza mwezi March.Nachotaka kujua toka kwa wataalamu wa uchumi,punguzo hili lina athari gani chanya katika kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,kaya na mpaka Taifa?

Na je,kushuka kwa "interest Rate" hiyo,inaweza kusababisha kushuka kwa "riba" ya mikopo ambayo wafanyabiashara ndogondogo ma wafanyakazi hukopa kupitia bank za kibiashara kama CRDB na NMB??

Maana kama wao wamepunguziwa huko wanakokopa,kwanini wasipunguze huku wanakokopwa?

[HASHTAG]#UchumiWaViwanda[/HASHTAG] [HASHTAG]#TzYaViwanda[/HASHTAG] [HASHTAG]#UchumiWaKati[/HASHTAG]
View attachment 476672

================================
Ufafanuzi kutoka kwa baadhi ya wadau

Central BAnk ikitoza riba ya namna hii, bank zitoze kiasi gani? Halafu watu bila haya, wanalalamikia eti bank zinatoza riba kubwa!.
 
Naona watu wengi mnakurupuka humu kwanza mjue nini maana ya discount rate..
What is a 'Discount Rate'

The interest rate charged to commercial banks and other depository institutions for loans received from the Federal Reserve Bank’s discount window. The discount rate also refers to the interest rate used in discounted cash flow (DCF) analysis to determine the present value of future cash flows. The discount rate in DCF analysis takes into account not just the time value of money, but also the risk or uncertainty of future cash flows; the greater the uncertainty of future cash flows, the higher the discount rate. A third meaning of the term “discount rate” is the rate used by pension plans and insurance companies for discounting their liabilities.

Read more: Discount Rate Definition | Investopedia Discount Rate
Follow us: Investopedia on Facebook
 
Kitendo cha Benki Kuu kurekebisha riba (Discount rate), aidha kwa kuipandisha au kuishusha huzingatia hali ya ukwasi kwenye soko la fedha, kasi ya mfumuko wa bei, na mwenendo wa riba za dhamana za serikali. Hali ya ukwasi inapokuwa imezidi mahitaji ya kiuchumi Benki Kuu hupandisha riba hii ili kuongeza gharama kwa mabenki kukopa kutoka Benki Kuu, hali ambayo husaidia kupunguza ongezeko la mikopo hiyo kwani inakuwa ni ya gharama ya juu. Kwa upande mwingine, hali ya ukwasi inapokuwa imepungua ikilinganishwa na mahitaji ya uchumi mpana, Benki Kuu hupunguza riba yake hii, hali ambayo huvutia haswa mabenki kuweza kukopa Zaidi kwani mikopo inakuwa na unafuu wa gharama na hivyo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Riba hii ni nyenzo muhimu katika kutekeleza na kuainisha mwelekeo wa sera ya fedha (implementation and signalling of the monetary policy stance).

Kuanzia mwezi Julai 2016 hadi Februari 2017, hali ya ukwasi kwenye mabenki imekuwa ikipungua kulikochangiwa kwa kiasi kikubwa na kupungua kwa matumizi ya serikali, hali iliyochangiwa zaidi na kupungua kwa fedha za wahisani kutoka nje ya nchi na kuchelewa kupatikana kwa mikopo ya kibiashara. Pia, juhudi za kusimamia matumizi na makusanyo ya mapato ya serikali, pamoja na kuhamisha amana za mashirika ya umma kutoka benki za biashara kwenda Benki Kuu.

Hatua zote hizi kwa pamoja kulichangia upungufu wa ukwasi kwenye mabenki. Kufuatia mwenendo huu wa ukwasi, Benki kuu kupitia sera ya fedha imeendela kuchukua hatua mbalimbali za kuongeza ukwasi kwenye mabenki ikiwa ni pamoja na kununua fedha za kigeni katika soko la jumla la mabenki na kutoa mikopo ya muda mfupi. Katika jitihada za kuongeza ukwasi, Benki Kuu imefanya tathmini ya mwenendo wa riba katika soko la dhamana za serikali, na kuangalia mwenendo wa mfumuko wa bei na mahitaji ya kuchochea kasi ya ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi na kuona kuwa kuna haja ya kufanya mapitio ya riba (Discount rate) kama nyenzo mojawapo ya sera ya fedha katika kusimamia ukwasi. Kwa mantiki hii na lengo zima la kutaka kuongeza ukwasi kwenye uchumi, Benki Kuu imepunguza riba kutoka asilimia 16.0 iliyokuwapo tangu mwezi Novemba 2013 hadi asilimia 12.0 itakayoanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 6 Machi 2017. Hatua hii inatarajiwa kupunguza gharama kwa mabenki yanapokopa toka Benki Kuu na itasaidia kuongeza ukwasi kwa gharama nafuu na kuchochea ukuaji mikopo kwa sekta binafsi.

Umeudanganya uma wa wana-JF kwa maneno mengi sana;

1. Discount rate ni nini?
2. Interest rate ni nini?
3. Kwa mujibu wa hilo tangazo, ni discount rate ndo iliyoshushwa kutoka 16% mpaka 12%, je hii inampa favor nani?
 
Sorry Bi Mkubwa, nilikuwa offline sikuliona jibu lako.

Jaribu kuperuzi maana ya Discount Rate, then rudi kwenye thread.

Niperuzi nini weye, kila kitu kipo wazi.

Remember, you are trying to argue with a walking encyclopedia.

Huwa sikisii.
 
Umeudanganya uma wa wana-JF kwa maneno mengi sana;

1. Discount rate ni nini?
2. Interest rate ni nini?
3. Kwa mujibu wa hilo tangazo, ni discount rate ndo iliyoshushwa kutoka 16% mpaka 12%, je hii inampa favor nani?

1. Kima cha punguzo
2. Kima cha riba
3. Haimpi "favor" yeyote, sababu imewekwa wazi "...stance geared towards sustaining price stability".
 
Nimeona tangazo la BOT kushusha "interest Rate" kutoka 16% mpaka 12% kwa Bank za kibiashara zinapokuwa zinakopa kutoka Benki Kuu Ya Tanzania (BOT)

Punguzo hili litaanza mwezi March.Nachotaka kujua toka kwa wataalamu wa uchumi,punguzo hili lina athari gani chanya katika kukua kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja,kaya na mpaka Taifa?

Na je,kushuka kwa "interest Rate" hiyo,inaweza kusababisha kushuka kwa "riba" ya mikopo ambayo wafanyabiashara ndogondogo ma wafanyakazi hukopa kupitia bank za kibiashara kama CRDB na NMB??

Maana kama wao wamepunguziwa huko wanakokopa,kwanini wasipunguze huku wanakokopwa?

[HASHTAG]#UchumiWaViwanda[/HASHTAG] [HASHTAG]#TzYaViwanda[/HASHTAG] [HASHTAG]#UchumiWaKati[/HASHTAG]
View attachment 476672

================================
Ufafanuzi kutoka kwa baadhi ya wadau
Kihalisia kama gharama za mikopo zimepunguzwa na benki kuu, automatically wakopaji kwenye beneficiary banks nao wanatakiwa wafaidike na decision hi
 
Back
Top Bottom