KB THE DON
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 243
- 108
Habari za jioni ndugu Great thinkers itifaki zote zikizingatiwa niende kwenye maada moja kwa moja
Kwa siku za hivi karibuni niliona mahala kwamba riba za mikopo CRDB 13% wakati NMB NA NBC wao ni 16%. Shida ilitokea pale nimefika bank anafanya calculation akanambia ili nipate sh 12.9mil kwa rejesho la 308,0000 (na points) kwa miezi 60 ambapo unatakiwa urejeshe 18 mil na point sasa nikamuuliza hvi hiyo 16% wanaicalculate vip hapo kiuhalisia nilipewa maelezo ambayo sikuyaelewa mwisho nikaamua kuondoka nikatafakari upya
Alinambia wao bank wana kitu kinaitwa reducing balance rate na fixed balance rate
Swali langu je hiyo 13% au 16% ni maneno tu (lugha ya biashara) au ni uhalisia
Maana mimi nilienda bank na mtazamo kwamba 16% ya Tsh 12 ml nitachukua 0.16 x12mil. =1.92 mil hivyo ilipaswa kuwa na mkopo wa jumla pamoja na riba sh 13.92mil baada ya matarajio kupishana na nilichokikuta nimeona nirud kwanza nitafakari Hivyo mwenye uelewa naomba ufafanuzi Tafadhali
NB: mil=milioni