BoT yaingilia kati sakata pesa za Lissu

BoT yaingilia kati sakata pesa za Lissu

Niliongelea hili juzi mkuu. Nilichoambulia kutoka kwa misukule ni matusi na kejeli. Tatizo humu watu wanapatwa na mihemko bila kujua uhalisia wa suala zima kuhusiana na Money transfers na TT. Kuna watu humu hata kujiunga na bando la Chuo kwao ni tatizo, halafu wanakuja na mihemko ya kiwango cha SGR.

Hahahhahaha TT inachukua siku 14 maajabu ya BOT
 
Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Nikweli inachukua week mbili toka zichangwe tarehe 8 na kutumwa tarehe 20.
 
Tunajua wiring inafanya kazi kwa 24 hours only sasa nyie toka tarehe 8 mpaka 23 na bado mnaguts za kutetea upumbavu basi tusiwalaumu wasaliti wanaoturudisha nyuma kwa kujilimbikizia Mali,wizi mfano Kivuko Kibovu,madini na gas.

Pole Tanzania yangu
Acha ujuaji wa kipuuzi wakati hujui kitu, si ajabu bado unakula na kulala kwa shemeji yako afu unakuja hapa kubwabwaja kuhusu money wiring. Soma hapa

"Many domestic wire transfers can be completed within 24 hours (especially if transfers occur between accounts at the same financial institution). But international wire transfers may take longer. If you're sending money to another country, it may take as many as five days for the recipient to receive their funds"

Hii ni TZ to KE (BOT to Barclays)
 
Niliongelea hili juzi mkuu. Nilichoambulia kutoka kwa misukule ni matusi na kejeli. Tatizo humu watu wanapatwa na mihemko bila kujua uhalisia wa suala zima kuhusiana na Money transfers na TT. Kuna watu humu hata kujiunga na bando la Chuo kwao ni tatizo, halafu wanakuja na mihemko ya kiwango cha SGR.
Wengi bado wanakula na kulala kwa shemeji zao hawajui lolote wanakuja hapa kubwabwaja tu
 
Swala ni kwamba mgonjwaaliumia tar 7. terehe 20 hela ndio inatumwa baada ya mbowe kuwaumbua.Sasa tar 7 mpaka 20 tatribani wiki 2.huyo mgonjwa angaekuwa hai kweli? Serikali inajikanyaga yenyewe
 
Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Ww ndo hujui kama zimetumwa tarehe 20 zimefika 21 ilikuwaje pesa zichangwe tr 8 zije zitumwe tr 20?au walijua hatopona?na ww kuwa na akili jinga kubwa ww kwani kinacho transfar pesa ni gari au mtandao hata kama ingekuwa kuzipeleka kwa gari toka tr 8 mpaka leo c zingeshafika.
 
Acha ujuaji wa kipuuzi wakati hujui kitu, si ajabu bado unakula na kulala kwa shemeji yako afu unakuja hapa kubwabwaja kuhusu money wiring. Soma hapa

"Many domestic wire transfers can be completed within 24 hours (especially if transfers occur between accounts at the same financial institution). But international wire transfers may take longer. If you're sending money to another country, it may take as many as five days for the recipient to receive their funds"

Hii ni TZ to KE (BOT to Barclays)
Unajua maana ya "May take longer"?
 
Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa

Usijipoteze ufahamu kama hujui.
Hela ilikusanywa tar 8. Imetumwa tar 20
Hio wiring money ya siku 12(kakaa nazo) inaingiaje hapo
 
Jambo doogo Serikali nzima inatokwa mapovu
Ndugai
Mwalimu
Msemaji wa serikali
Na sasa BOT
Kweli hii ni aibu ya Taifa
 
Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
anajua sana, pesa ichangwe tarehe 8 na 9 wao wapeleke tarehe 20, kuna namna, basi wangemjulisha mojawapo, familia, au chama, sasa hospital ingekataa je kuwa haina maelezo na hizo pesa, wee hujui kuna jaji 1 kenya kabla ya uchaguzi aliingizia milions of kenyan shs kwenye account yake na akagoma kutoa na kuwaambia bank wazirudishe walikozitoa maana yake hana maelezo
 
Angetaka kuzipiga asingezitaja.Shida amewahi kabla wala Rambirambi hamjazipata.

Poleni sana.Baada ya Mbowe kuongea amekuwa kama mbwa anayeongozwa na miluzi.
mbowe kaongea tarehe ngap na bunge walituma pesa tarehe ngap?
 
Ww ndo hujui kama zimetumwa tarehe 20 zimefika 21 ilikuwaje pesa zichangwe tr 8 zije zitumwe tr 20?au walijua hatopona?na ww kuwa na akili jinga kubwa ww kwani kinacho transfar pesa ni gari au mtandao hata kama ingekuwa kuzipeleka kwa gari toka tr 8 mpaka leo c zingeshafika.
Kama zimetumwa unacholialia ni nini Dada!! Tukusaidiaje sasa Dada au sababu mmezoea kulialia kila kitu mnatafuta sababu ya kulia tu, Bora zingekua hazijatumwa au zimetumwa pungufu kumbe zimetumwa bado unalialia kama mtoto yatima haishi malalamiko!
 
Swala ni kwamba mgonjwaaliumia tar 7. terehe 20 hela ndio inatumwa baada ya mbowe kuwaumbua.Sasa tar 7 mpaka 20 tatribani wiki 2.huyo mgonjwa angaekuwa hai kweli? Serikali inajikanyaga yenyewe
Huu ni msaada unapopeleka mgonjwa wako hospital huwazi kwamba utapewa msaada unajua gharama zote ni juu yako, hata wao initially hawakujua Kama bunge lingechangia, msaada huja Kama bahati tu, sasa Kama wao walienda Kenya wakijua bunge litatoa pesa huku wamekataa gov isigharamie watakua wajinga.
 
Pesa za serekali sio za duka kwa duka. Jamani lazima kuweko Na nchanzo. Zamani sana nilipokuwa nafanya kazi serekalini. Ata kama kikosi au sec walikuweko kwenye ajali Fulani. Lazima mkuu wa kulikundi kuandika barua kujulisha Na kuomba chochote kile ata kama wakuu walikuwepo. So Mbowe kama kiongozi wa upinzani anatakiwa kuripoti kwa SPK Na kumpa taarifa huu ya ajali au ugonjwa wa Lissu. Huu ndio utaratibu wa kiserekali. Ata kama Rais angekuwepo. Mbowe andike barua kwa SPK. Na SPK atandika serekalini, kurejea barua ya Mbowe..m Hili CIG atakapokuja kuchunguza azijmkute nk........
 
Acha ujuaji wa kipuuzi wakati hujui kitu, si ajabu bado unakula na kulala kwa shemeji yako afu unakuja hapa kubwabwaja kuhusu money wiring. Soma hapa

"Many domestic wire transfers can be completed within 24 hours (especially if transfers occur between accounts at the same financial institution). But international wire transfers may take longer. If you're sending money to another country, it may take as many as five days for the recipient to receive their funds"

Hii ni TZ to KE (BOT to Barclays)

So "as many as five days" is two weeks for you? Did you really grasp what you quoted?
 
Back
Top Bottom