KABIDI BODO
Senior Member
- Jan 19, 2017
- 187
- 259
Toka tar 8 ilipochangwa pesa imetumwa tar 20, hiyo wiring money yawapi?Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Toka tar 8 ilipochangwa pesa imetumwa tar 20, hiyo wiring money yawapi?Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Pesa hazijaliwa na zishatumwa. Hapa tatizo ni Lenu mnaodhani matibabu ya TL yangesimama bila zile pesa kitu ambacho si kweli. Wao kukataa msaada wa serikali na kuamua kumpeleka KE tayari walikua wana utayari wa kugharamia kwa njia wanazojua wao.Aiseee....
Hakuna aliyesema kuchanga ni jukumu la mtu, ILA UKISEMA UNACHANGA, NA UKACHANGA, MCHANGISHAJI AKILA, HILO NI TATIZO....
BTW, are you serious unaposema HATA WANGEPELEKA MWEZI UJAO? Kwa hali ile ya LISU... wapeleke mwezi ujao.... ROHO YAKO INAHITAJI REHEMA YA MUNGU ILI UONE MAANA YA ULICHOKIANDIKA
Zilikua zinasubiri maelekezo zaidi kama za rambi rambi na wahanga wa tetemekoJibu jepesi haswa wiring money 08/09/2017 to 22 September alaa acha hizo janja nyepesi hiyo. Na atajulia wapi wakati yeye hela kaanza kushika ukubwani kama wewe? kitu cha emergency mnaleta uwiring?
Hapo sasaToka tar 8 ilipochangwa pesa imetumwa tar 20, hiyo wiring money yawapi?
Jibu jepesi haswa wiring money 08/09/2017 to 22 September alaa acha hizo janja nyepesi hiyo. Na atajulia wapi wakati yeye hela kaanza kushika ukubwani kama wewe? kitu cha emergency mnaleta uwiring?
Toka tar 8 ilipochangwa pesa imetumwa tar 20, hiyo wiring money yawapi?
nje ya mstari kabisa, wewe ulikua unamshangaa mbowe kuwa hajui wire transfer huwa zinadelay? Ndio tukakuambia hoja sio wire transfer hoja ni kuchelewa kutuma, toka tar 8 hadi 20 hata kama zingekuwa zinapelekwa kwa boda boda zingekuwa zimeshafika..,Nimejibu hili swali repeatedly ngoja nirudie kwa mara ya mwisho
TL hahitaji msaada kutibiwa, hadi familia yake inampeleka KE tayari walikau wameamua kumtibu wenyewe na walijua gharama zote ni juu yao, msaada umekuja kama bahati tu, bila hata ya huo mchango TL angetibiwa. Aidha walisema hawama imani na gov hivyo hawahitaji msaada wao
TL anabima ambayo inamsaidia pia
Wabunge kutoa michango yao ni msaada sio jukumu wala lazima, wabunge kwa hiari yao walikubali ila yeyote yule angeweza kusema posho yangu isikatwe na isingekatwa. Zile sio pesa zako wala zangu au za wananchi ni posho za wabunge. Again, ni msaada sio jukumu, bunge halina wajibu wa kumjibu yeyote yule kuhusu mchakato wa hizo pesa, wangeweza kupeleka hata mwezi ujao kama wangeamua. Mtoaji msaada ndo huwa anaaamua atoe kiasi gani na kwa mtindo gani sio mpokeaji, ndo nasikia hapa mpokeaji anatoa masharti. Kama hawajapendezwa na jinsi hizo pesa zimekuwa handled wanaweza kurudisha
Siku 12 baada ya pesa kuchangwa, ndo zilitumwa kwanini zimecheleweshwa hivyo?Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Siku zaidi ya kumi.akuna kitu kama hiyo ata kwa bus zingewahiMbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
alitaka kutumwa kwake si unajua watu wa kule kwa madili ya juuu kwa juuMbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
.Siku zaidi ya kumi.akuna kitu kama hiyo ata kwa bus zingewahi
Wanaofanya biashara Kati ya Kenya na disinclined fedha huchukua sio zaidi ya saa 48. Jaribu sasa hivi na uone. Je,mbona waliziweka muda wote huo?Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa
Basi yatosha sasa!!
Tena gwanda lake lote lililowa utafikiri kanyeshewa mvua kumbe ni jasho tu. Nilishangaa sana siku ile, kumbe hii ndio ilikuwa sababu. Alifikiri hela zimeingizwa kwenye akaunti yake lakini hola hakuziona. Duh.mpaka alitokwa na jasho
mmmmmmh?Mbowe alitaka kupiga hizi milion 43
Yaani wewe umekaa hapo unadhani unaitetea serikali ua unazidisha tu chuki kwa watuFirst, huu ni msaada. Msaada hauna masharti tena mtoaji ndo anaweza weka masharti sio mpokeaji
Second, familia ya Lissu ilijua gharama zote ni juu yao, msaada umekuja Kama bahati tu, bila hata ya huo msaada bado wao walishaamua atatibiwa Kenya na gharama zote ni zao
Bunge halina wajibu wakumtaarifu yeyote yule, Hili sio jukumu ni msaada Kama hawapendzwi nao warudishe, kwanza walisema hawataki serikali imgharamie
Pesa zimechangwa, zimetumwa timilifu I don't know what is all the fuss about au ndo Mtoto yatima haishi malalamiko
I wish TL a speedy recovery
Kwa nini zitumwe tarehe 20 ... acha uzuzu wewe businessman my ass ... wake up!!! this is pure politics bro ...Mbowe hajui kwamba wiring money takes time up to days sometimes? Businessman gani hajui hilo? Sio kila kitu wafanye siasa