Nilimwambia Akaandike Na Aniletee Nikasaini Alisema,,
Hata Hivyo Alisem Abaada Ya Kusaini Na Barua Hiyo Ilipelekwa Kwa Delloit And Touche Aliwasiliana Na Mr Mgonja Aliepinga Hoja Ya Matumizi Ya Fedha Zilizolipwa Kagoda ,,,
Baada Ya Kupata Maelezo Hayo Na Kufanya Vikao Vya Kiserikaliniliandika Barua Kufuta Barua Yangu Na Hivyo Kuagiza Cag Kufanya Ukaguzi Uliosababisha Kufikia Hatua Ya Raisi Mnayoiona ,,kwa Hyo Hili Swala La Bot Nilianza Kulishugulikia Hata Kabla Ya Dk Slaa Kupata Kwenye Internet,,
" Wana Jf Kazi Kwenu "tuchambue Pumba Na Uozo Na Utapeli Uko Wapi,,,hii Ni Kutoka Gazeti La Nipashe Jan 15/2008 Uk 14