Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Nipe mimi ili tumkomoe huyo bosi
 
Wewe kahaba acha ujinga na kama unafikiri kufanya promo hapa yaani acha ujinga kabisa wapelekee ma ccm wenzako akili mbovu
 
Muandiko wa mwanaume.

Anyway, turudi kwenye uzi.

Hutaki azungumze na wafanyakazi wengine? Maelekezo utawapa wewe?
Hebu tulizana.
Umekuwa mtaalamu wa kugundua miandiko ya watu lini?
Jf bana unakuta muuza siso naye anajipa utaalamu ambao hata haujui
Na shule aliishia lapil d 🤣🤣🤣
 
Umekuwa mtaalamu wa kugundua miandiko ya watu lini?
Jf bana unakuta muuza siso naye anajipa utaalamu ambao hata haujui
Na shule aliishia lapil d 🤣🤣🤣
Uwe unajituliza.

Bora ya mimi nimeishia darasa la pili kuliko wewe uliyesoma na uwezo hata wa kuandika kwa ufasaha unashindwa.

Alafu kufahamu muandiko wa kike huna hata haja ya kuwa Mtaalam. Kama unashindwa kutambua tu, basi wewe ni zwazwa.
 
Bila shaka huyo boss wako ni miongoni mwa vijana wa rikiboy wazee wa kula kimasihara
 
Yani nimekoma sirudii tena
kuna mwaka fulani ilibaki kidogo ninase kwenye mtego wa mahusiano ya kimapenzi na staff mwenzangu.

nilimla kisela mara mbili halafu baada ya hapo nikamuanzishia mapichapicha akereke na mimi ili kuondoa mazoea. nilifanifanikiwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani comment yangu umeisoma vibaya uliwekwa picha nikashangaa mbona wanatuma picha ya mtu anaonekana ni Mama mchungaji na si wewe ila baada ya wewe ku like nimepigwa ban kwenye ule uzi ila sio mbaya.
Ooh usijali dear. Mimi nimeisoma vizuri tu.
 
Duuh na ukakubali kuwa nae[emoji16][emoji16] hivi wanawaonaje mpk wanawaambia hivyo et yupo kwenye mahusiano

Kiufupi amekudharau Halafu boss huwa ni cha wote pale ofisini

Hahanidharau kaniambia ukweli
Angekua ni mhuni angesema hayupo kwenye relationship
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…