Angekuwa mchumba ako ungeshauri hivi?
Yaani humu ushauri ni wakuua tu...
[h=1]1 Wakorintho 6[/h]8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Okay Quran inasemaje nayo?
Ampe tuu Kwan anaondoka nacho
amdanganye kaathirika
ata sign barua fasterrrr