Boss wangu amenitaka kimapenzi

Boss wangu amenitaka kimapenzi

Orait orait.......I see.....

Anunue ndomu anazopenda then akatoe ushirikiano wa hali ya juu.

Maisha yenyewe mara moja haya au sio Preta
 
Last edited by a moderator:
Orait orait.......I see.....

Pacha heri mi sijaongea!

Lakini kuna vitu ukishaanza kuvitafakari hata sisi tunaanza kutilia shaka!

Kuna mambo kama hukubaliana nayo unajibu outright...haya ya kupeana jibu siku nyingine na wewe ukakubali...mhhh twin!
 
Hivi atakachopungua baada ya kumpa ni nini,, kwani ye ni bikra, mbona wengine amewapa tu tena bure, nashauri ampe tu Boss aache kumbania ili na yeye apate uhamisho wake.
 
Ngomaaaaaa


mazee kama hayo yanakuwa na makopo ya dawa aTanguunga kwenye kifurushi fasta

NA VIZEE KM HIVYO KILA MTU VINAMLA
 
Ngomaaaaaa


mazee kama hayo yanakuwa na makopo ya dawa aTanguunga kwenye kifurushi fasta

NA VIZEE KM HIVYO KILA MTU VINAMLA

Kwani mzee kaomba kuloweka? si watumie ndomu ili wote wafaidi na uhamisho apate.
 
Kabla ya kwenda kuonana nae mwambie aandae ushahidi utakaoweza kuja kumsaidia kama lolote litakuja kutokea..Mwambie achat nae kwa simu au aongee nae zen amrekodi...

Point taken
 
ampe tu..hawezi kuacha mark that 'boss was here'
 
Hivi atakachopungua baada ya kumpa ni nini,, kwani ye ni bikra, mbona wengine amewapa tu tena bure, nashauri ampe tu Boss aache kumbania ili na yeye apate uhamisho wake.

Mhhh kwahiyo mtu asipokuwa bikra ndo akigawe kama pipi?
huyo dada mimi namshauri asikubali atete nafsi yake na utu wake
hakuna kitu cha thamani sana kama kutunza utu wako
Shikilia msimamo wako usikubali akurubuni
kama bosi akikukazia usex nae kataa na tafuta njia nyngine ya kupata haki yako
Im done..
 
Kwani utamu yeye hatapata?

Ampe tu ila ajitume ili kuhakikisha boss anatoa uhamisho fastaaaaa.

Na anaweza ajitume hadi Jasho lakin akaishia kuambiwa 'U are so Sweet' na uhamisho ukaishia hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom