Boss wangu amenitaka kimapenzi

Boss wangu amenitaka kimapenzi

[h=1]1 Wakorintho 6[/h]8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Mleta mada unataka ushauriwe kukatika kwa maini ya boss au mtu kutoa papuchi??
Amna under age apo atachoamua ndo uwezo wake wakufikiri ulipo... Go 2 Hell
 
Amwambie anaumwa U.T.I, na bado hajaanza kutumia dawa!. Au aseme anaumwa Fangasi ya ukeni
 
Jamanan hivi dunia inaelekea wapi?....wanawake nawaonea huruma sana katika mambo mnayo pitia katika maisha ..... unakuta mara bosi ananitaka kimapenzi mara mjomba alitoa usichana wangu, mara nilibakwa nikiwa mdogo, mara mume wangu anataka tigo hiv kwanin baadhi ya wanaume tunavya hivyo kuwadhalilisha wanawake ? ....yaani huwa naumia sana nikiona mwanamke anadhalilishwa kwa mambo ya kishenzi, kumpa tu uhamisho mpaka mgegedo, wengine mnashauli ampe pachu kama ni dada yako, ndugu au mdogo wako anafanyiwa hivyo we utaona poa tu...........npm namba yake nimsaidie kama hutojali.
 
Aendelee kumpa maneno mazuri mazuri kuonesha uhusiano utaendelea ili asaini.
 
Kuwa na msimamo imara, acha kiyumbishwa na mtu kisa kazi, muombe mungu atakusaidia na kukupigania na iko siku huyo mtu mungu atamlipa adhabu yake. maana malipo ni hapa hapa duniani
 
[h=1]1 Wakorintho 6[/h]8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Inabidi uokoke ili uuone ufalme wa Mungu
 
I could be trippin', but i think any woman that calls a vagina funny names like 'kidude', has got no respect for it. And for that, i'm keeping my money on this.
 
roxna

Ampgie Simu, Amwambie Anahofia Anaweza Kumpa Alafu Asimtimizie, Alafu Pia Anaweza Kumpa Ila Angeomba Wakapime Kwanza 'Mawaya' Akishamwambia Hivyo, Amsikilizie Anasemaje......!!! Akimpa Jibu Hapo, Nitafute Na Jibu Alilopewa...Ampgie Asimfate Hapo Kwanzo.
 
Last edited by a moderator:
Mi nikiwa na njaa nafanya chochote ili nisife na njaa
 
Mpe ulisha muonesha utamkubalia dakika 30 tu utakuwa umejenga kitu kipya
 
Nini sasa?wakati watu mmeambiwa njaa ikizidi g
Hata nyama nayo ni nyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom