Boss wangu amenitaka kimapenzi

Boss wangu amenitaka kimapenzi

Jamanan hivi dunia inaelekea wapi?....wanawake nawaonea huruma sana katika mambo mnayo pitia katika maisha ..... unakuta mara bosi ananitaka kimapenzi mara mjomba alitoa usichana wangu, mara nilibakwa nikiwa mdogo, mara mume wangu anataka tigo hiv kwanin baadhi ya wanaume tunavya hivyo kuwadhalilisha wanawake ? ....yaani huwa naumia sana nikiona mwanamke anadhalilishwa kwa mambo ya kishenzi, kumpa tu uhamisho mpaka mgegedo, wengine mnashauli ampe pachu kama ni dada yako, ndugu au mdogo wako anafanyiwa hivyo we utaona poa tu...........npm namba yake nimsaidie kama hutojali.

Mhusika wa kisa hiki kama namfahamu hivi
Tena ni msomaji wa mada za jf japo ajajiunga tena hasa jukwaa hili la raha na vilio vya kila aina
 
Binti ulichopewa na Mungu kumnyima Mwanaume dhambi
 
Kama kweli anajiheshimu na hana nia ya kumvulia chupi aweke mambo wazi bila kuremba.

Kama chuki amuwekee tu.

Kuliko kumvulia chupi eti kwa ajili ya uhamisho tu! Nini?
 
That's gender violence. A crime. He deserves to rot in jail. ASIMPE, POTELEA MBALI UHAMISHO!
 
... inasikitisha sana kusikia wanawake (dada zetu, mama zetu, na hata watoto wetu siku zijazo)are going through unyanyasaji wa aina hii!
 
Heeee!! Ajaribie kwenye tamu?? Aaaargh no way.

Ndio manake, kwanza atapata utamu pili atakuwa ame-boost chances zake za kupata uhamisho kuliko akiweka ngumu.

Inategemea wewe unalitazamaje suala hili, mbona rahisi kwake tu.

Ingekuwa mwanaume analetewa sharti la hivi na boss wake mwanamke mbona hata suala hili lisingeletwa hapa barazani.

Angepukuchuliwa mtu fastaaa na boss badala ya kutoa uhamisho angetoa na nyongeza ya promotion.
 
Kuna mambo mawili hapo ambayo asipokuwa makini yatamkuta. 1. Boss anaweza akaamua amrudi tena na tena kabla ya kupata saini 2. Anaweza kula tunda na saini asiipate
Plan; Amwambie aje na barua, awekewe mkono akiona, kisha akimbilie polisi. Baada ya kutoa kitu, hiyo iwe fundisho kwa boss wa hovyo hivi atasaidia wengine. Ila hii ni kujitoa sadaka kuokoa wengine. Akifika polisi aombe pf3 kuwaq kamtenza kwa nguvu bila ridhaa. Sperms zitakutwa na lijibaba hilo litapatikana na hatia, hata ya kutumia ofisi vibaya.
Tena ka nini amwambie hataki guest bali ofisini kwa boss huyo.
 
Ndio manake, kwanza atapata utamu pili atakuwa ame-boost chances zake za kupata uhamisho kuliko akiweka ngumu.

Inategemea wewe unalitazamaje suala hili, mbona rahisi kwake tu.

Ingekuwa mwanaume analetewa sharti la hivi na boss wake mwanamke mbona hata suala hili lisingeletwa hapa barazani.

Angepukuchuliwa mtu fastaaa na boss badala ya kutoa uhamisho angetoa na nyongeza ya promotion.

Teh teh. Aisee..hapa ndipo umuhimu wa kujiajiri unapotokea..
 
ebu mwambie ampe kidude icho bwana, mbona anambania ivo?
 
Me nafikiri atengeneze cheti cha kuwa kaathirika kisha aende nacho kwa boss kisha amuambiae hv 'siyo kuwa nakuzungusha ukwel ni kuwa nimeathirika na cheti hiki hapa,ndio maana sitaki kukuua makusudi na ndio maana nataka kuhama ili nikae karibu na eneo lenye matibabu'...
 
Kwani boss anataka kuoa au kuonja asali ili atoe uhamisho.

Kila mtu anakula mahali pake pa kazi shehe
Asali nyingine hazionjwi zikionjwa ni moja kwa moja. Hivyo ni busara kutoonja onja katika maisha, amini muarobaini ulionao ni zaidi ya asali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom