Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Qur'an inatumia lugha ya kistaarabu.
"msiikaribie zinaa"
Hata ISIS wanaitumia kufanya mambo ya kistaarabu
Qur'an inatumia lugha ya kistaarabu.
"msiikaribie zinaa"
Kwa msaada aje twende kwa DC tukafunge ndoa ili apate cheti, halafu ndo aombe uhamisho kwa kigezo cha kumfuata mume wake. Lazima ahame yaani.
ha ha ha. Halafu flora mimi nakutafuta sana. Hebu twende chemba basi.vinashawishigi kavu vikishajijua vina matatizo ya kiufundi
Utamu nitatoa lakini sio kwa kubadilishana ili nipate kitu..
Asali nyingine hazionjwi zikionjwa ni moja kwa moja. Hivyo ni busara kutoonja onja katika maisha, amini muarobaini ulionao ni zaidi ya asali
Jamanan hivi dunia inaelekea wapi?....wanawake nawaonea huruma sana katika mambo mnayo pitia katika maisha ..... unakuta mara bosi ananitaka kimapenzi mara mjomba alitoa usichana wangu, mara nilibakwa nikiwa mdogo, mara mume wangu anataka tigo hiv kwanin baadhi ya wanaume tunavya hivyo kuwadhalilisha wanawake ? ....yaani huwa naumia sana nikiona mwanamke anadhalilishwa kwa mambo ya kishenzi, kumpa tu uhamisho mpaka mgegedo, wengine mnashauli ampe pachu kama ni dada yako, ndugu au mdogo wako anafanyiwa hivyo we utaona poa tu...........npm namba yake nimsaidie kama hutojali.
JE huyo mr Afisa kama nae ana ngoma tayari? si ndo kitu na box hapo mkuu
Kitapungua uzito na ladha, kama mwenyewe anakivundika jee?
Amwambie huyo boss kuwa ni HIV victim. Nachukia sasa sana wanaume wanao tekeleza majukumu yao kwa consideration ya papuchi. Hate em to die..., f***k em all.Habari zenu wana Jf,
A friend of a friend amepatwa na hili nikaona sio mbaya kuja kushare nanyi.
Alikua anaitaji uhamisho wa kikazi ndani ya wilaya kwaio akaandika maombi na akafanya process zote ikawa bado tuu kupitishiwa na boss huyo shida ikaja alipoenda kwa huyo boss wake akamwaga mboga kuwa anataka kidude!Akampa mda aende alafu amtafute ampe jibu kupitia uyo rafiki nikamshauri si vyema kujitoa utu wake kwa ajili ya kushift sehemu tu ts not worth and ni kujishusha sanaa tu.
Sasa kesho ndo miadi imetimia ya yeye kumpa jibu uyo lidubwana cha uroho alichohamua kumjibu ni hivi "nikamheshimu sana boss wangu kama mzazi wangu sitoweza kufanya hivyo maana nitakuwa nimekukosea heshima "
Binafsi nimeona kama jibu bado halikati maini vizuri ya afisa uyoo yani something is missing ivii,ndo mana nimelileta kwenu ili kupata mawazo yenu jinsi gani ya kumpa jibu ambalo halitoathiri uhamisho wake wala kumshusha boss wake na kujisikia vibaya na kuepuka kupelekea kujenga chuki juu yake ilo jibu linatakiwa liweze kushusha uroho wake ajabu ajabu kama fisi.
"Kutojitoa utu wake ili aweze kusaidiwa" it's my thought,whats yours?
Karibuni experties wa maneno yenye tiba
vinashawishigi kavu vikishajijua vina matatizo ya kiufundi
huyo boss anataka kumpa ukimwi tu, asimame kimungu, nami namuombea ktk jina la Yesu Kristo Natuma Utisho Wa Kimungu Umtangulie
Ingawa nahisi umeandika upesi upesi hivyo kuleta shida katika kuelewa hasa undani wa issue yenyewe, lakini wacha nimshauri akamweleze hivi;
"BOSS napenda sana kuheshimu hisia zako juu yangu lakini wakati huo huo na mimi kujaribu kujipekua kama hisia zako na zangu zinaweza kukutana..! Hivyo kwa sasa akili imehamia kwenye kuhama kwa asilimia mia, nahitaji kulifikiria hili ambalo limekuja wakati huu baada ya kukamilisha uhamisho...."