Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Nitamkataaa
Hongera
Nitamkataaa
Kwanza kunatana ni Ushujaa.
1. Watu watajua size ya uume ambao unanitia
2. Watu pia watafahamu kama navaa shanga au cheni.
Ngoja uje unatane na mimi sasa utakoma uume unakuwa unazunguruka tu ndani ya k.................!:becky::majani7:
Barida.
Na tena nitaendelea kuyakata mauno mpaka twapelekwa Hospitali.
Chezea Mb'oo wewe.
Kama ni midume inatubeba kutuweka kwenye fuso ile miguno yetu lazima suruale ziweke tent ..................!:becky:
Si unajua saa hizi bado jua kali my dear
hahahah nilibanwa na majukum... next time usijali
punguza mitego ya kitanga.....
Kwa nini umkubali? Yaani kwa kuwa ni BOSS wako? ina maana ni Boss mpaka kwenye maeneo ya maupendo?..Zawadi ya Mungu kwa mumeo eti kisa Boss!!!..Yeyote kati ya staff wangu akijipendekeza kwangu kwa lengo kunihonga ili awe favoured nampa onyo kali.Je boss wako akutake utamkubali au
Maboss wa siku hizi bana VITOTO VIDOGO! SUPER HANDSOME! VIMETOKA ULAYA! VERY CLASSY! MTIHANI KWELI KWELI! Mambo gani BOSI MNALINGANA UMRI! Mnasalimia "Vipi wewe! Niaje! Jana usiku ulikuwa pande ipi!" Sasa hapo USALAMA UPO KWELI!!!!!!!!!?
Bora nisingeacha ile kazi ya GVT manake ukisikia BOSI ujue hapo ni habari ya 50 AND ABOVE!!!!!!! Mvi suna! SHIKAMOO HAIGOMBI!!!!!!!! Mtu kama mzazi wako!!!!! Hata HESHIMA INAKUWEPO!!!!!
Mimi bana maboss sipendi kutoka nao sababu WANAKOPA SANA!!!!!!!!!! Khaaaaaaa!! Unafanya kazi MBILI msahara mmoja!!!!!? Hapo ukitoka nae AKUITE JMOSI BURE, UMSAIDIE MIRIPOTI BURE, OLE WAKO UCHEKE CHEKE KIDUME KINGINE, NYOTE KAZI HAMNA, UMPELEKEE MAJUNGU YA BUREEEEE, NA KIFAA KIPYA KIKITINGA LAZIMA AKUSUBSTITUTE!!!!!!!! Mchagga mie kwakweli NIMESHINDWAAAAAAAAA!!!!!(KOPARING IS TOO MUCH!)
Wewe ukishaanza kufikiria tu mambo ya boss wako kukutaka,tayari ina maana ushamtaka!.
Strongly seconded and likedMaadili ya kazi yanakataza kabisa kujihusisha na mapenzi kazini maana mwisho wake huwa ni kupunguza ufanisi wa kazi eneo husika,hivyo ukiona Boss anamtaka mfanyakazi hasa wa chini yake ujue tayari ofisi husika imekosa kiongozi anayetambua nafasi yake.
Boss akitaka nimfukue silazi damu kudadadeki