Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,326
- 111,543
Last edited by a moderator:
Shem shem shem.
Me sitaki kesi.
I dnt no men, bt reading ur comment made m ooowh....anywyz its ur rit 2writ watever u deem rit
don be disappointed lol, watu8 ni mtu poa zaidi ya hiyo comment...the thing is, Natalia anasahau threads zake za mwanzo towards wanaume tena wanaume wa kiafrika...
Jamani msipersonalise. Kwani natalia anafanya kazi? Muke ya muzingu mutotu ya fisadi? Hivi unajua mshahara wa surgeon US?
Tena surgeon wa fake boobs??
Je boss wako akutake utamkubali au
kwangu madame b inategemea.
Kama bosi mkono wake mrefu afu anatoa pesa naweza kushawishika.
Ila kama mkono wake mfupi,wala hanipati.
Maboss wa siku hizi bana VITOTO VIDOGO! SUPER HANDSOME! VIMETOKA ULAYA! VERY CLASSY! MTIHANI KWELI KWELI! Mambo gani BOSI MNALINGANA UMRI! Mnasalimia "Vipi wewe! Niaje! Jana usiku ulikuwa pande ipi!" Sasa hapo USALAMA UPO KWELI!!!!!!!!!?
Bora nisingeacha ile kazi ya GVT manake ukisikia BOSI ujue hapo ni habari ya 50 AND ABOVE!!!!!!! Mvi suna! SHIKAMOO HAIGOMBI!!!!!!!! Mtu kama mzazi wako!!!!! Hata HESHIMA INAKUWEPO!!!!!
Mimi bana maboss sipendi kutoka nao sababu WANAKOPA SANA!!!!!!!!!! Khaaaaaaa!! Unafanya kazi MBILI msahara mmoja!!!!!? Hapo ukitoka nae AKUITE JMOSI BURE, UMSAIDIE MIRIPOTI BURE, OLE WAKO UCHEKE CHEKE KIDUME KINGINE, NYOTE KAZI HAMNA, UMPELEKEE MAJUNGU YA BUREEEEE, NA KIFAA KIPYA KIKITINGA LAZIMA AKUSUBSTITUTE!!!!!!!! Mchagga mie kwakweli NIMESHINDWAAAAAAAAA!!!!!(KOPARING IS TOO MUCH!)
Fullstop.
Awe boss asiwe boss kama ana utamu lazima atugaiye na sisi.