Boss wako akikutaka utamkataa??

Boss wako akikutaka utamkataa??

Umuulize kama inafaa kupata ushauri toka kwa mkewe. Nadhani kwa gea hii atakoma na kukomaa aache ukware wa kijinga. Ukiona anang'ang'ania unaweza kumuuliza kama ni vizuri kupata ushauri toka kwa mumeo ambaye naye pia atataka ushauri wake na wa mkewe. Nadhani hapa utafunga kazi. Kama shirika au kampuni iliyokuajiri ina utawala huru yaani wa bodi basi unaweza kuomba ushauri kwa bodi.
 
Wanawake wengi makazini wanapenda sana kujilengesha kwa mabosi wao ii wamegwe,

Ndio maana sitakubali mke wangu aajiriwe, ni mtihani mgumu sana
 
Kwangu Madame B inategemea.
Kama bosi mkono wake mrefu afu anatoa Pesa naweza kushawishika.
Ila kama mkono wake mfupi,wala hanipati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom