Boss wako akikutaka utamkataa??

Boss wako akikutaka utamkataa??

Boss kama yule binti kwenye wimbo wa Miss Independent-NEYO?
 
Wanawake wengi makazini wanapenda sana kujilengesha kwa mabosi wao ii wamegwe,

Ndio maana sitakubali mke wangu aajiriwe, ni mtihani mgumu sana

Hata ukimfuga nyumbani ni yale yale tu, anaweza kumegwa hata na mlinzi..cha msingi piga sala tu pepo ta ngono limpitie mbali.
 
Ngoja ikukumbe ndo utajua kubebwa na fuso ama kenta maana yake nini............!:confused2:

Kwanza kunatana ni Ushujaa.
1. Watu watajua size ya uume ambao unanitia

2. Watu pia watafahamu kama navaa shanga au cheni.
 
Kama ni mtu wa kumegwa atamegwa tu regardless of being employed.
 
Back
Top Bottom