Wandugu, poleni kwa mihangaiko, katika kile nisichokitarajia, my immidiate boss amekuwa akimtaka wangu wa karibu.<br />
Ijumaa imebidi wangu wa ubani inipe mkanda wote, ila kuanzia jana na leo, boss hawezi hata kuongea nami, anaazira kabisa, nipeni ushauri?.<br />
by <br />
Babu