Bosi wangu wa kike ananitaka, nifanyeje?


Niliwahi kukuuliza siku za nyuma lakini hukunijibu na leo tena naomba nikuulize,hivi huyu dada ninayemtizama hapa mbele ya macho yangu ni wewe mwenyewe au ni avatar tu umeweka?
 

Duu...... naona kule chini umesema ni komba a.k.a mamba (anakamata maji kwa sana)
kama ni hivyo mkatae .... si unajua mambo ya valuar tena ukishachanganya madawa
bibi unamwona kigori ...... asije akawa ameshakamata dudumizi ........ ni hatari sana
 
ahaa yaani kuwa nice n friendly kwako umeona kuwa nakutaka sio eeh.sikutaki wala nini na itabidi nisafiri na mtu mwingine maana hujui wema.
Anti hakuna shida kama umemzimikia ......usione soo ........ila usilazimishe ............hata sie akinakaka huwa tunabakwa si unajua
na ni vibaya .......... kama anakuwekea usiku tafuta mwingine. vijana wanaopenda wanawake wanaojiweza wako tele ....
 
kama we huna mtu uko single ......have fun be safe
lakini kama una mtu take caution
mmmmmhhhhh but make sure is not gona bring probs L8er at ur work place
i mean distraction e.g(calling u every 30mnts in his office)lol hahahah lol
 
of couse amekamilika kila idara. anakata kilaji mno. naogopa kuwa mtumwa maana kila atakachokuwa anataka nikubali!

Wrong! FYI ukimfikisha anakotaka, kinyume chake kinakuwa ukweli: Atakuwa anakubali unachotaka wewe. How old are you young boy?
 
kwani kujiunga nov.2010,rply 0,post 0 ..... inakuhu!

We nawe umetokea wapi JF ni sehemu ya amani sasa wewe kuingia tu unaanza kuleta uswahili wako hebu nenda ukachwechwe uko none sense
 

We umejuaje kuwa anakutaka??? Huyu boss aliniambia anataka akutege aone kama wewe ni mtu mwaminifu na alisema atajilengesha kwa subordinate wake ili kumpima na akikataa atampandisha cheo. Hapo anakutega, ukikataa atajua wewe ni mbegu tofauti na unaramba pulomosheni fasta. Shauri yako ukipuuzia ushauri huu
 
Watu wengine bwana. Ndio maana vijana wengine hukosa kila kitu. Huyo bosi wako wa kike anakutaka. Na wewe sasa umeanza kusema hovyo hovyo mpaka kwenye mitandao kwamba eti unatakiwa. Hiyo ni dalili ya maringo na majivuno. Kama anakutaka huna haja ya kutuliza sisi. Hiyo ni siri yako. Huna haja sasa kuanza kujisifu. Kaa na bahati yako na uitumie bahati hiyo. Usianze kumdhalilisha bosi wako. Hivi unadhani hawezi kufahamu kuwa ume-post hii hapa. Tayari umeshasema kuwa anataka u;pande ndege. Atakachofanya yeye ni hesabu tu yaani 2+2= 4. Kwa hiyo atajua umeanza kumsema kwenye mitandao. Kwa hakika kibarua chako kiko hatarini. Wewe unadhani ni ujanja, ni lazima takufukuza kazi kwa kumdhalilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…