DOKEZO Bosi wa kiwanda cha A to Z Arusha anawadhalilisha na kuwakandamiza Watanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mnashindwa kumpiga mnakuja kulia lia hapa. Mi hata niwe maskini namna gani siwezi ruhusu Mzungu, Mchina sijui Muhindi au Mwarabu aninyanyase kwenye nchi yangu.

Muulize yule Witzer wa Enza Zaden pale Arusha nilichomfanyia. Yaani lizungu little kwao na like ninyanyasa Kwai. Si bora niuze Figo zangu kuliko kuutweza utu wangu kisa mshahara wa laki 5. Pigeni huyo Muhindi.
 
Back
Top Bottom