Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,422
- 27,308
Tarehe 15 mwezi wa 8 wanaachia episode mbiliBel air wamegoma kutoa S3
Tarehe 15 mwezi wa 8 wanaachia episode mbiliBel air wamegoma kutoa S3
Bayern wametawala sana hadi kero navutiwa sana na mpira wa kijeruman bayern ni kikwazo Mpira wa kijerumani uko open sana funga nikufunge.Tusuburi msimu ujao
Kwenye ligi timu moja tu ikitawala misimu yote ligi inapungua ushindani. Tazama hata ligi kuu ya ufaransaBayern wametawala sana hadi kero navutiwa sana na mpira wa kijeruman bayern ni kikwazo Mpira wa kijerumani uko open sana funga nikufunge.
Viongoz wa dortmund wanaacha kujenga tim imara wanakimbilia kuuza wachezajiKwenye ligi timu moja tu ikitawala misimu yote ligi inapungua ushindani. Tazama hata ligi kuu ya ufaransa
Na jobe Bellingham tusubirHili jambo ndilo linayumbisha timu. Watazame kina Harland, Bellingham
Akifanya vizur hatunaye tenaHuyu tumeshamchukua tayari