Mkuu jezi za Dortmond mbona hazipatika kwa urahisi shida nini ?Huyu tumeshamchukua tayari
Wanaogopa dada zetu wasije zivamia kama za palmeras,real betis,inter miamiMkuu jezi za Dortmond mbona hazipatika kwa urahisi shida nini ?
naona JOBE BELLINGHAM ndan ya mech mbili kawaka tayar naziona £100m+ zitavunwa mbelenMpaka hapo tumeshafuzu hatua ijayo
Kawaulize kwanza mashabik wa southampton,valladolid,kiel,monza,toulouse,azam waulize walianzaje? Ndipo uje hapaMulianzaje kushabikia timu kama hii? ila ya ngoswe muachie ngoswe, kwa herini.
Usishangae humu kuna threads za SPURS,BRIGHTON,ATLETICO,JUVENTUS,AC MILAN,BAYERN,MAN CITYHii timu kumbe inamshabiki tanzania kweli vituko haviishi