Wee waangalie walivyokuwa wanashika mkia, wakajitahidi mpk no 6.Chelsea ilivyo kwa sasa kubeba kombe labda waliibe
Tutaita fire ya Mwamposa ikateketeze hiyo laana 😁Laana ya Abramovich bado inaitafuna timu
Mapema sana’ usiku wote huu anataka kuleta tabia za kiswahiliNaona ban imehusika chap kwa kijana
WatajipangaHaha hapa boss aweke mzigo wa kutosha
Imemlipukia 🤣🤣Alikua anatest mitambo
Mod wako vizuri. Kumbe wanafanya kazi 24/7 😌Dakika za jioni umechomoa battery
😂😂 usiseme hivyo. Watasikia wafike na hapaWanafanya kazi kwako tu. Uzi wa jamaa alipiga kelele lakini wapi bado ukawa umefungwa
Ndugu yangu kitamboInaumaaa lakini 😂😂😂 sema ukiwazia haikupi pesa, unajikaza unasonga