Boris Johnson akashifu wanawake wavaa hijab

Hivi kumbe Qur'an haijaelekeza kuvaa hijabu,nilikuwa sijui
 
Ulichotakiwa kuongelea ni utamaduni na sio imani. HAKUNA IMANI BILA MATENDO
Basi endelea kuabudu bila kuzingatia tamaduni na taratibu za jamii husika uone kitakachokupata.
 
mwee... nchi ina hanki ya kuchagua vile wageni wanavaa. ukienda saudi arabia mbona unalazimishwa kujifunika? so kama wao waingereza hawataki they have every right to decide so. hupendi basi ondoka.
 
unaharibu vipi utamaduni wa watu kwa mavazi yako!?..na usipokula wanavyokula wao pia utakua inaharibu
Kwamba hujui maana na uapana wa tamaduni katika jamii? Hizi ndo hupelekea kuwepo kwa sheria zinazopitishwa na jamii husika.

Sasa kama jamii inaamini kuvaa ninja ni vibaya kwao unalazimishaje ukavae ninja?

Sasa subiri wakushughulikie.
 
Hujui Nguvu ya Imani
Hehe nguvu ya imani kwenye mazingira ambayo hayakuruhusu!

Kafuge nguruwe maeneo wanakokaa watu wanaoamini nguruwe ni wabaya kwao, ndo utajua imani yako ilivyo na nguvu.

Mfano mzuri ni zanzibar, watu wanapigwa kula hadharani wakati wa ramadhani ilihali wanajua sio wa imani hiyo na kufunga ni hiali.
 
Kwamba hujui maana na uapana wa tamaduni katika jamii? Hizi ndo hupelekea kuwepo kwa sheria zinazopitishwa na jamii husika.

Sasa kama jamii inaamini kuvaa ninja ni vibaya kwao unalazimishaje ukavae ninja?

Sasa subiri wakushughulikie.
unaleta ushabiki tu unaoshawishiwa na udini..kama hutaki watu wa tamaduni zingine usiruhusu waingie
 
Haya na mawazo ya mtu anayetazama mambo kwa macho ya nyama na sio ya Rohoni
 
Bwana Boris Rafiki yangu sana wakati nikiwa london nikifanya field kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza bwana John Major. Namkumbuka Boris tulivyokuwa tukipiga naye bia aina ya TOBOG pale Zone 3 London
 
Haya na mawazo ya mtu anayetazama mambo kwa macho ya nyama na sio ya Rohoni
Hehe sawa mkuu, endelea kukinzana na hili kuna siku utaweka banda la nguruwe pembeni ya msikiti na watakuonesha nini maana ya kuheshimu taratibu na imani za wenzako!
 
mbona wanafuga tu na mabucha yapo sehemu ambazo wala nguruww ni wa kuhesabu..njoo kigogo sambusa
Hehe sasa unasemea huko uswazi ambako hawako serious, nenda kayafanye huko nchi za kiislamu hata hapo zanzibar kaweke banda la nguruwe kando kando ya msikiti halafu utaniletea mrejesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…