Siyo lazima muwe maadui lakini siyo lazima muwe marafiki wa kutembeleana, ku hang out pamoja, kuandikiana emails, kuchat kwenye messenger, kuwekeana vi comment kwenye hayo ma facebook yenu (damn I hate that muthafukka), kutumiana PMs kokote mlipo wanachama, na mambo mengine kama hayo hususan kama mmoja wenu au nyote mko kwenye mahusiano.
Kumbuka hakuna break up ambayo ni out of mutual agreement; nyingi ni mmoja kamtosa mwingine. Kwa hiyo ni ngumu kwa yule ambaye bado anapenda afu umwambie eti let's be just friends. Kuwa kwenu close kunazidi kumuumiza ni beter upotee jumla maishani mwake. Hata mimi ni mmoja wa wasiotaka kuwaona ma x wangu japo wote ni mimi niliwatema kwani naogopa wanaweza kuanza usumbufu.
Hivi ni kwa nini hili suala la "tuendelee kuwa marafiki wa kawaida tu" kwenye mapenzi huwa haliwezekani.,ni kwa nini hata pale wapenzi wanapoachana by mutual consent huwa na ile element ya "friendship" nayo inafikia mwisho?.,kwani ni lazima mkiachana kama wapenzi basi muwe maadui.,wahusika huwa wanajaribu kuepusha nini kwa kuwa mbali from each other?
Nawasiisha.
sidhani ka inawezekana mana sio rahisi mkakutana mazingira ambayo yanaruhusu af mmbaki piga story tu
Mnaanzaje kuachana kwa mutual conset nijuzeni wana jamvi cjaiexperience hii
Mnaanzaje kuachana kwa mutual conset nijuzeni wana jamvi cjaiexperience hii
Hivi mkiendeleza urafiki, unadhani hao wapenzi wenu wapya watakuwa wana amani kweli especially wakiangalia historia yenu ya nyuma mlivokuwa wapenzi?? Hata kama mtakuwa mpo single, if hamjajikuta mnafall again basi lazima mmoja atakuwa msumbufu kwa mwenzake!!