Bora tuwe marafiki tu...

wanaoachana kwa mutual consent nahc wapo sayari ya jupiter huko...mara nyingi huwa ni bifu tu

ni kweli mkuu kwenye Jupiter viumbe wote wanakuwa wamekaza nyuso kama vile wanalazimishwa kumeza mavi
 
Mnaanzaje kuachana kwa mutual conset nijuzeni wana jamvi cjaiexperience hii

Wewe hujawahi kuona?.,mimi mwenyewe nina xperience hiyo kuna wakatu unafika circumstances zinawaforce kufikia makubaliano ya kusitisha mahusiano.
 
Wewe hujawahi kuona?.,mimi mwenyewe nina xperience hiyo kuna wakatu unafika circumstances zinawaforce kufikia makubaliano ya kusitisha mahusiano.

It may have an outward appearance of/like a mutual consent while in real sense it is not! How can you call it a consent ilhali imekuja baada ya external influences na sio 'out of your own free will'( ngumu kutokea )??
 
Mimi ninafikiri inategemea na namna mlivyoahana. Kuachana bila kukosana (hiyo mutual consent unaypoiita) mara nyingi hupelekea kurudiana/kukumbushiana au kuliwazana = cheating kama tayari mmoja wenu au kila mtu ameshamove na mtu mwingine. Ila ninachoamini ni kuwa mkiachana kwa ugomvi, mkakaa muda wa kutosha say after 5/7 years ni rahic kuwa marafiki wa kushare mambo yanayowasibu (kama mmeamua kusameheana). Kwa sababu kwa muda huu kila mtu atakuwa committed kwa mwenzi wake na pia lile donda bado litakuwa linamualert. Nionavyo mie.

But si lazima kuwa rafiki na mtu uliyeachana naye kwani hamdaiani.
 
Kwa mtazamo wangu kama iwapo wapendanao wanapoamua ku-separate (kama ulivyosema "by mutual consent") ile hali ya urafiki wao wa mwanzo sidhani kama ni lazima ipotee. Na kama itatokea urafiki huo ukapotea basi ujue hiyo separation baina yao haikutokea "by mutual consent", ni lazima kuna kitu kilichosababisha mtafaruku kati yao. Otherwise kwa wanaume wenzangu ninachoweza kuchangia hapa ni hiki;- Kama chanzo cha kuvunjika uhusiano ni mwanamke, hutakiwi kuonyesha udhaifu wa kuweka uadui nae. Kufanya hivyo ni dalili ya kutojiamini, na haitasaidia katika kum-discipline huyo ex-honey wako. Be calm, mchangamkie kama kawaida na jitambue wewe kama ni mtu wa thamani kwa sababu hata kama sio yeye yapo mwingine atakayechua nafasi yake. Kikubwa unachotakiwa ni kupigania kuboresha uchumi wako na kufanya mazoezi ili kustimulate "feeling good" hormone. Inatosha kabisa.

We wa wapi? unamchangamkia ili iweje? pointless. Potezea, aliyewahi kuwa na mimi nahisi ana la kusema. Hivi kweli umeoa mwanamke mwingine mimi umeniacha kwenye maumivu ya ajabu leo unanichangamkia ili kuleta mabadiliko gani katika maisha yangu? Nahisi wenye kufanya hivyo hata thawabu kwa mungu haipo. Nitakachofanya ni kuomba mungu nisimchukie, nisamehe pale ninapofikiria kanikosea then niendelee na mihangaiko yangu mingine!
 
Mimi ninafikiri inategemea na namna mlivyoahana. Kuachana bila kukosana (hiyo mutual consent unaypoiita) mara nyingi hupelekea kurudiana/kukumbushiana au kuliwazana = cheating kama tayari mmoja wenu au kila mtu ameshamove na mtu mwingine. Ila ninachoamini ni kuwa mkiachana kwa ugomvi, mkakaa muda wa kutosha say after 5/7 years ni rahic kuwa marafiki wa kushare mambo yanayowasibu (kama mmeamua kusameheana). Kwa sababu kwa muda huu kila mtu atakuwa committed kwa mwenzi wake na pia lile donda bado litakuwa linamualert. Nionavyo mie.

But si lazima kuwa rafiki na mtu uliyeachana naye kwani hamdaiani.

Nimejaribu kukuna kichwa lakini nimeshindwa kuelewa! Kuachana bila kukosana, does it mean kwamba kuna mutual consent?? Really? Nahitaji msaada wako kabla sijaenda chaka!
 
Nimejaribu kukuna kichwa lakini nimeshindwa kuelewa! Kuachana bila kukosana, does it mean kwamba kuna mutual consent?? Really? Nahitaji msaada wako kabla sijaenda chaka!

Sweetie kipipi, kuachana bila kukosana ni mfano ndugu, wazazi wa pande moja hawataki muwe wote; swala la dini; kabila (wengine) na pengime malengo na mielekeo tofauti ya maisha inawezapelekea mkakubaliana kuwa mh mwenzangu hii ni chaka tumeingia na tukiendelea hivi kuna mmoja ambaye atasacrifice more and its not fair.

Sijui kama nimekosea

Mf. Inapotokea una mtu ambaye ana watoto ambao kwa namna moja au nyingine unaona kabisa kuwa s/he is so much into them yaani unajiona kabisa katika risky situation kuwa itapotokea umekwaruzana na watoto basi ni wazi umekwaruzana na mwenza. Instead of thinking ah I will get allong with them unaona mh hapa sina changu

si you seat and talk?? Akikiri kuwa wanae ni wanae, they will always be kings/malaika na unajiona kabisa kuwa you can not cope.............si mnawezaachana kwa makubaliano??
 
Sasa hapo si nikuachana kwa sababu ya vikwazo au? Ambavyo mtoa mada ameziita circumstances zinazowaforce kuachana? Mi naona hata kama kuna circumstances zinazowafanya muachane, lazima mmoja awe amekwazika tu! May be I've taken this thing too far! Lol!
 
WE CANT BE FRIENDS BY DEBORAH COX

Tojust act like we never were
To come around and not show hurt
How dare we greet by shaking hands
Just months ago I was your man

Verbally we agreed
It was over and we were through
I'm trying to compose myself
But I just can't get over you girl

[Chorus:]
We can't be friends
We can't be friends
We can't be friends
'Cause I'm still in love with you

I went by Mother's, saw your car there
To her you're still family, and it don't seem fair
For everyone to just go on
And I've tried and I can't do it
'Cause I'm still torn
I've tried to think of you
As just another love in my past
That didn't last
But it's not that simple baby

[Chorus]

You may see me staring
Or catch me in a daze
May see me hang my head
When you come my way
Don't get too close to me
And expect me to behave
I might just steal a kiss
If you come near my face
What I'm trying to say ay ay oh oh
is

[Chorus]

And ill never ever
find another lover like you babe
i love you too much
i love you too much
And

[Chorus]
 
CANT BE FRIENDS BY TREY SONGZ

Chorus:

Now Im Sitting Here Going Half Crazy.
Cause I Know She Still Thinks About Me Too.
And There Aint No Way In Hell, That I Can Be Just Friends With You.
(You, You, You)
And I Wish We Never Did It,
And I Wish We Never Loved It,
And I Wish I Never Fell So Deep In Love With You And Now There Aint No Way ThatWe Can Be Friends.

Back
Top Bottom