Bora tuwe marafiki tu...

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Hivi ni kwa nini hili suala la "tuendelee kuwa marafiki wa kawaida tu" kwenye mapenzi huwa haliwezekani.,ni kwa nini hata pale wapenzi wanapoachana by mutual consent huwa na ile element ya "friendship" nayo inafikia mwisho?.,kwani ni lazima mkiachana kama wapenzi basi muwe maadui.,wahusika huwa wanajaribu kuepusha nini kwa kuwa mbali from each other?
Nawasiisha.
 
Mkikaa karibu lazima mtakumbushia.so better kuwa mbalimbali ili kukwepa vishawishi na kualibu relationship mpya ambayo umeianza after the break up
 
Siyo lazima muwe maadui lakini siyo lazima muwe marafiki wa kutembeleana, ku hang out pamoja, kuandikiana emails, kuchat kwenye messenger, kuwekeana vi comment kwenye hayo ma facebook yenu (damn I hate that muthafukka), kutumiana PMs kokote mlipo wanachama, na mambo mengine kama hayo hususan kama mmoja wenu au nyote mko kwenye mahusiano.
 
Mie naona… tatizo sio kuwa marafiki… tatizo huja kwenye human nature… Maisha hayasimami husonga mbele na mamvo mengi saana hubadilika; ni circumstances nyingi ambazo zaweza wapush close mara kwa mara…. Which yaweza kua ni kuwaonea wapenzi wenu wa wakati huo…. Hilo nikimaanisha kua kama ni marafiki wa karibu still chances za nyie sleeping every now and then ni kubwa… Which may not be good for yaweza mfanya mmoja kati yao asiweze move on…. Daima….
 
Siyo lazima muwe maadui lakini siyo lazima muwe marafiki wa kutembeleana, ku hang out pamoja, kuandikiana emails, kuchat kwenye messenger, kuwekeana vi comment kwenye hayo ma facebook yenu (damn I hate that muthafukka), kutumiana PMs kokote mlipo wanachama, na mambo mengine kama hayo hususan kama mmoja wenu au nyote mko kwenye mahusiano.

N.N what's wrong kama hamvuki mipaka kufikia kuathiri existing relationship zanu?
 
Kumbuka hakuna break up ambayo ni out of mutual agreement; nyingi ni mmoja kamtosa mwingine. Kwa hiyo ni ngumu kwa yule ambaye bado anapenda afu umwambie eti let's be just friends. Kuwa kwenu close kunazidi kumuumiza ni beter upotee jumla maishani mwake. Hata mimi ni mmoja wa wasiotaka kuwaona ma x wangu japo wote ni mimi niliwatema kwani naogopa wanaweza kuanza usumbufu.
 
Kwanza km utakuwa umeanza uhusiano mpya cdhan ulienae ataamin km nyie n frends tu..pia wachache wanaokua na akil ya frendship
 
in real sense kama mmeachana by mutual consent, inabid mpotezeane tu coz mkiwa karib kama marafik itakua inakumbusha goodtimes we had together then at the same times kama mmoja wenu ana mpenzi mwingina ndo inauma zaid, even if kila mmoja anampenzi bado tu inauma so inamaanisha love bado inaexist btn you
 
hiyo ni ngumu sana bora uhame kabisa au ufanye kama NN mnaishia kuchat tu..
 
Kwa mtazamo wangu kama iwapo wapendanao wanapoamua ku-separate (kama ulivyosema "by mutual consent") ile hali ya urafiki wao wa mwanzo sidhani kama ni lazima ipotee. Na kama itatokea urafiki huo ukapotea basi ujue hiyo separation baina yao haikutokea "by mutual consent", ni lazima kuna kitu kilichosababisha mtafaruku kati yao. Otherwise kwa wanaume wenzangu ninachoweza kuchangia hapa ni hiki;- Kama chanzo cha kuvunjika uhusiano ni mwanamke, hutakiwi kuonyesha udhaifu wa kuweka uadui nae. Kufanya hivyo ni dalili ya kutojiamini, na haitasaidia katika kum-discipline huyo ex-honey wako. Be calm, mchangamkie kama kawaida na jitambue wewe kama ni mtu wa thamani kwa sababu hata kama sio yeye yapo mwingine atakayechua nafasi yake. Kikubwa unachotakiwa ni kupigania kuboresha uchumi wako na kufanya mazoezi ili kustimulate "feeling good" hormone. Inatosha kabisa.
 
Kumbuka hakuna break up ambayo ni out of mutual agreement; nyingi ni mmoja kamtosa mwingine. Kwa hiyo ni ngumu kwa yule ambaye bado anapenda afu umwambie eti let's be just friends. Kuwa kwenu close kunazidi kumuumiza ni beter upotee jumla maishani mwake. Hata mimi ni mmoja wa wasiotaka kuwaona ma x wangu japo wote ni mimi niliwatema kwani naogopa wanaweza kuanza usumbufu.

tehe tehe tehe siamini mimi lol..
 
Mnaanzaje kuachana kwa mutual conset nijuzeni wana jamvi cjaiexperience hii
 
sidhani ka inawezekana mana sio rahisi mkakutana mazingira ambayo yanaruhusu af mmbaki piga story tu
 
Hivi ni kwa nini hili suala la "tuendelee kuwa marafiki wa kawaida tu" kwenye mapenzi huwa haliwezekani.,ni kwa nini hata pale wapenzi wanapoachana by mutual consent huwa na ile element ya "friendship" nayo inafikia mwisho?.,kwani ni lazima mkiachana kama wapenzi basi muwe maadui.,wahusika huwa wanajaribu kuepusha nini kwa kuwa mbali from each other?
Nawasiisha.

tatizo kubwa lipo kwenye utamaduni wetu wa kiafrica.
Ila mawazo yako yanawezekana kupokelewa kabisa.
 
Hivi mkiendeleza urafiki, unadhani hao wapenzi wenu wapya watakuwa wana amani kweli especially wakiangalia historia yenu ya nyuma mlivokuwa wapenzi?? Hata kama mtakuwa mpo single, if hamjajikuta mnafall again basi lazima mmoja atakuwa msumbufu kwa mwenzake!!
 
tatizo linakuja mmeachana afu mayb mnafanya kazi sehem moja au mnasoma pamoja...and the girl ndo ana insist normal friendship,so mnaonana kila siku mnasalimiana kila siku,na gal alivyo na makusudi anakutonesha zile hisia me i hate that thing...ni bora mkiachana msijuane kabisa au muwe marafiki tu wa mambo?... Poa...lakini ukaribu zaidi ya hapo ni kujiumiza na kujinyima nafasi ya kuyatendea haki maamuzi mliyofikia ama uliyoamua
 
Hivi mkiendeleza urafiki, unadhani hao wapenzi wenu wapya watakuwa wana amani kweli especially wakiangalia historia yenu ya nyuma mlivokuwa wapenzi?? Hata kama mtakuwa mpo single, if hamjajikuta mnafall again basi lazima mmoja atakuwa msumbufu kwa mwenzake!!

wanaoachana kwa mutual consent nahc wapo sayari ya jupiter huko...mara nyingi huwa ni bifu tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom