Bora nirudie paper la six kuliko foundation

Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).

Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)

Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.

Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)

Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3

Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.

Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,

Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
We jamaa kuna vitu tunafanana sana
 
Mkuu fanya fanya.

Mimi narudia mtihani wa form four tena mchawi ni huyo physics kuna coz ya afya nainyemelea...

Ukisoma ukubwani raha sana,unaelewa na inakuwa rahisi kufaulu ikiwa juhudi zitatumika.

Sasa hvi mtu akisoma ukubwani anasoma kwa kujua anachokitafuta.
 
Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).

Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)

Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.

Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)

Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3

Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.

Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,

Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Usijaribu hizo comb zenye phys maana mpk hapo akil yako imesha hama tyr mkuu sasa ukienda kusoma maprojectile now na madudu ya doppler+madudu mengine ndo utazid pagawa utahis dunia imekutenga

All in all sikutishi mkuu ni ushauri tu
 
Sio kweli mkuu.

Kusoma ukubwani kuna faida yake kubwa sana.

Pesa kama ipo+muda kama upotutayari+ufundishaji mzuri+juhudi = unatoboa vizuri tu.

Hakuna ugumu wowote.

Ila ukisema usome kutafuta AAA tena A za 98 huwenda ikaawa ngumu.lakini usome ufaulu ndo lengo
 
Usijaribu hizo comb zenye phys maana mpk hapo akil yako imesha hama tyr mkuu sasa ukienda kusoma maprojectile now na madudu ya doppler+madudu mengine ndo utazid pagawa utahis dunia imekutenga

All in all sikutishi mkuu ni ushauri tu
Quantum mechanics yenyewe siiogopi halafu wewe unakuja kunitisha na classical
 
Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
pcm sio ya kurudia pepa mzee, tobokea huko huko juu. Utapoteza muda bure. Soma diploma uipendayo
 
Wakuu tofauti ya ordinary diploma ya clinical medicine na advanced diploma ya clinical medicine ni ipi
 
Mimi sitaki diploma ya pili.
diploma nlonayo inatosha, TGTS yangu sio B na narudi shule ku reseat for funny nikifaulu ntasoma coz nayoitaka, nikifeli poa tu maanayake kazi nilionayo nataikubali rasmi (sitaiacha labda nikitajirika)
Maana najua cha kutafuta ambacho sina ni hela, na hela unaweza kuipata bila vyeti
ungeandika for fun tokea mwanzo nsingejibu
 
Hawa wasomi wa foundation course pale SAUT na vyuo vingine vya kata ndo wametuharibia elimu yetu...Nilifikiri hii kitu ilishapigwa marufuku
 
Foundation Ni Advance level hiyo Kaka usiwadharau wanaosoma hii kozi wapo vizuri sana
 
Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).

Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)

Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.

Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)

Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3

Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.

Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,

Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Akili ya nini sasa kama huna hela?!
 
Back
Top Bottom