sasa kwanini mnafanyaga matuc bila kinga jamani na mnajua hampo tayari kwa matunda?.....huyu mkaka atakuwa ana wake wa moyoni wewe ulikuwa wa mdomoni tu.
Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni
Firstlady hii nimeitoa kwa rafik yangu hayajanikuta mimi! kwanza hapa inavoniumiza ningekuwa mm ningemlisha sumu dog huyu ebo! huyo atakuwa binaadam au mnyama pori
kweli kabisa.Huyu alikuwa anakamega ka under 18 kadent anaogopa kunyea ndoo! Ila anakapenda
Hizo ndizo supprise wanaume wengi huchukia. Jifunzeni kutumia kinga na kukubaliana kabla ya kupanda hizo mbegu maana kuota ni natural .Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa
Hizo ndizo supprise wanaume wengi huchukia. Jifunzeni kutumia kinga na kukubaliana kabla ya kupanda hizo mbegu maana kuota ni natural .
Firstlady hii nimeitoa kwa rafik yangu hayajanikuta mimi! kwanza hapa inavoniumiza ningekuwa mm ningemlisha sumu dog huyu ebo! huyo atakuwa binaadam au mnyama pori
tuongee kiukweli hapa hivi ni nani mwenye uamuzi wa kutumia kinga hapa? Mwanamke au mwanaume? Kutokana na experience zetu. Mimi nitaanza mwenzangu nilikuwaga namwambia tujikinge siku za kwanza akawa anatii but alivyonizoea tu na kujua kuwa nimefika kigoma akawa anagoma siku nyingine na hata umwambie nini hataki na maswali ya kwani huniamuni au unaogopa nini yakatawala maana unaogopa kusema humwamini na wala huwezimwambia kuhusu wewe kwa sababu unataka akuamini na ukimwambia masuala ya mimba ndo kwanza anakwambia si tutalea! So kusema ukweli sometimes ya mara nyingine huwa si rahisi kama tunavyolizungumzia hapa. Mwanamke anahitaji reaaly kuwa anajiamini sana ndo aweze kusimamia hili
Ntamwaga nje