Bora nipate ukimwi kuliko kuniambia una mimba yangu

Kaka Masa kumbe unafaa sana kwenye mapambano dhidi ya UKIMWI eeh. Nitawashauri TACAIDS wakuchukue kama Balozi wa UKIMWI. Hongera

Mpwa Sipo

Ila yataka ujasiri sana kama ni demu mpya mmmmmhhhhh wazamani uliye mzoea ni easy.....!
 
Back
Top Bottom